Leo Barcelona na intermillan wanakutana tena second leg, ambapo naona itakua ni game ngumu sana yaani ni do or die. Hapa nakumbuka UEFA 2009 intermillan alimfanyia Barcelona ukatili na kumtoa kwa kupaki basi na counter attack mpaka intermillan akaenda kubeba UEFA.
Ngoja nione game ya Leo itakuaje, maana intermillan wanataka sana kuchukua kombe hill la UEFA, ijapokua Barcelona wanangaika sana kushinda ugenini. Lakini kwangu mie naona Barcelona ndio timu ya vijana inayocheza mpira mzuri wa kuvutia napia natamani ibebe kombe hili.