Sasa kama balde,kounde,lewandowsk wameumia unataka na hawa wengne waendelee kuumiaHansi flick ni kocha kichaa to ever exist in football history, yaani mpaka sasa anatamaa na kushinda champions league. Hiki kikosi gani hiki leo
kwahiyo wewe na hizo akili zako unaiona hii barca ikiwin Champions League?... muhimu ni kuwin la liga kwanza, it could be better kama rotation ingefanyika ikiwa kuna 9+ points kwenye title race. au unadhani game ya tar 11 itkuwa rahisi, pia kuna mfupa mgumu wa villarreal na athletic bilbao na tofauti ni 4 points onlySasa kama balde,kounde,lewandowsk wameumia unataka na hawa wengne waendelee kuumia
champions ligi bado game ngapi kubeba ndoo --- na ligi bado game ngapi kubeba ndoo?kwahiyo wewe na hizo akili zako unaiona hii barca ikiwin Champions League?... muhimu ni kuwin la liga kwanza, it could be better kama rotation ingefanyika ikiwa kuna 9+ points kwenye title race. au unadhani game ya tar 11 itkuwa rahisi, pia kuna mfupa mgumu wa villarreal na athletic bilbao na tofauti ni 4 points only
Game ya madrid umeitoa kweny game ngum kebokokwahiyo wewe na hizo akili zako unaiona hii barca ikiwin Champions League?... muhimu ni kuwin la liga kwanza, it could be better kama rotation ingefanyika ikiwa kuna 9+ points kwenye title race. au unadhani game ya tar 11 itkuwa rahisi, pia kuna mfupa mgumu wa villarreal na athletic bilbao na tofauti ni 4 points only
we umelogwa eeh!, kubeba ndoo!? Hivi unaujuwa ubingwa wa champions league au unajiachia tu na hivyo vidole vyako kwenye keyboardchampions ligi bado game ngapi kubeba ndoo --- na ligi bado game ngapi kubeba ndoo?
swali halijibiki? au hujaelewa lugha?we umelogwa eeh!, kubeba ndoo!? Hivi unaujuwa ubingwa wa champions league au unajiachia tu na hivyo vidole vyako kwenye keyboard
nilivyoandika "game ya tarehe 11" haukubahatika kuelewa nazungumzia game gani?Game ya madrid umeitoa kweny game ngum keboko
swali lako halipo realistic kwa ulimwengu wa sokaswali halijibiki? au hujaelewa lugha?
jibu linapatikana au lah mkuu?swali lako halipo realistic kwa ulimwengu wa soka
Weka mechi zote kumi na tatu.Binafsi nina matarajio madogo sana ya Barcelona kuvuka hapa
View attachment 3322384
Mbona kawaida kileMashabiki wa Barca ni kama mmechangangikiwa ivi!ni kama hamkutegemea mlichokutana nacho jana au??!
Huyo balde nae pumbavu kila siku baada ya mechi kupiga mipicha tu na wachezaji wenzake uwanjani halionekani kama mgonjwa si akae nyumbani kwanza dogo gerlad martin ashaanza kuwa fire yeye alale nyumbani sio Kila mechi yupo uwanjani tu kupiga mipichaCules wenzangu.
Naona game yetu ya kesho babu ndoski atakuwepo.
Ila Balde hatokuwepo.
Huyo dogo Gerlad bado sana.Huyo balde nae pumbavu kila siku baada ya mechi kupiga mipicha tu na wachezaji wenzake uwanjani halionekani kama mgonjwa si akae nyumbani kwanza dogo gerlad martin ashaanza kuwa fire yeye alale nyumbani sio Kila mechi yupo uwanjani tu kupiga mipicha
Bado kufanyajeHuyo dogo Gerlad bado sana.