FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mashabiki wa RMA wamehamia Inter sasa tunakuja kuwakanda San Siro

Then mtahamia PSG tunawakanda tena

Mamaé round hii mtateseka sana

Na bado tukikutana tena tunawakanda
Sasa mimi una uhakika gani ni shabiki wa madrid?

Mimi kuja kusema msiwabeze Inter na kujipa matumaini makubwa ya kupita kuliko uhalisia tayari nimekua madrid?
 
Analysis ndogo kabisa Kwa namna Barca anavyocheza na inter wanavyocheza inter wanaweza kutengeneza chaos nyingi wakienda mara chache golini Kwa Barca kuliko Barca wakienda mara nyingi golini Kwa inter mechi ya away itakuwa ngumu Kwa Barca ,pili away form ya Barca kwenye uefa sio nzuri kama ya nyumbani ila ninampa nafasi Barca japo akitolewa ni wanaume wamewatoa vijana ,inter ni wanaume haswa,kwenye matokeo ya 3-3 kidogo wapate goli la nne ,na mwenendo wa mechi expected goal ilikuwa Kwa inter kuliko Kwa barca
 
"Ulielewa neno Version ile ya aliyokutana nayo Pep"
Hakuna sehemu nimeandika Barca katoka, Muda wote najaribu kuonesha maeneo yanayofanya tunakuwa na mazingira magumu.

Inter anaesuasua kwenye Ligi kupata goli anapataje goli 3 kwetu na Sisi ndio tufanye kazi ya kurudisha ?
Inter alitakiwa afe kwa namna yoyote ile.
 
Kuna uwezekano mkubwa wa makombe matatu kuenda spain UEFA-barca,EUR0PA-athletic club,EUROPA.C-real betis anaweza kufanya hivyo maana yupo kwenye wakati mzuri
 
Barca tumejiongezea mzigo wenyewe Yani on target 10 Goli tatu wao On Target tatu Goli 3 hizi hesabu zetu Kuna Mechi zinachosha.
 
Jana Bacca alikuwa kafa goli 4 watu wa VAR wameamua kuibeba Bacca kwa kukataa goli halali la Inter. Ni vipi hii inakuwa offside?
 
Binafsi nina matarajio madogo sana ya Barcelona kuvuka hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…