Mpira ni dakika 90 mkuu tutaona hukoBarca hatoboi, San Siri Lamine yamaal anaenda kupigwa pin Moja matata timu nzima inakuwa imekufa, Barca wakiwaga ugenini unaweza sema ni Yanga yaani mpira wa ovyo wanacheza
Barca mwenzangu huyo ila yeye Moja kwa moja anadhani Mimi ni mpinzani.Nmefatilia majadiliano yenu nimegundua jamaa yuko too emotional barca ikiwa criticized.
Jamaa yupo too emotional kiasi kwamba unaweza kudhani kaanza kufatilia uefa msimu huu na hajui namna haya mashindano yalivyojaa ukatili.Mbona una poor reasoning kiasi icho eti magoli ya kona, acha kujiaibisha hapa
Shabiki oya oya wa Barca.Barca mwenzangu huyo ila yeye Moja kwa moja anadhani Mimi ni mpinzani.
Sababu tu umeongea kitu ambacho hapendi kusikia.Barca mwenzangu huyo ila yeye Moja kwa moja anadhani Mimi ni mpinzani.
Sawa Inter atatutoa hatuna uwezo wa kuifunga.Jamaa yupo too emotional kiasi kwamba unaweza kudhani kaanza kufatilia uefa msimu huu na hajui namna haya mashindano yalivyojaa ukatili.
Mtu anakwambia Inter hawana lolote sababu wametegemea kona, kwani kona si ni sehemu ya tactics za timu?
Timu imeingia na lengo la kwenda kutumia weakness yako kwenye set pieces na ikakutoboa bado unawabeza kana kwamba ni magoli ya kupewa.
Timu zimebeba hili kombe kwa magoli ya penati ije kuwa kona?
Ni kweli hatuna uhakika wa kupita nilikuwa nazingua tu.Sababu tu umeongea kitu ambacho hapendi kusikia.
Kuwa shabiki wa timu fulani hakukuzuii kukubali kwamba timu yangu ina weakness hizi, weakness ambazo zinaweza kutugharimu.
Nimeona anavyokujibu unapojaribu kuweka facts inaonyesha hataki kabisa kukubali kwamba barca hana uhakika wa kupita kama anavyotaka kuamini.
Wew dagaa mambo ya yanga yanahusikaje hukuBarca hatoboi, San Siri Lamine yamaal anaenda kupigwa pin Moja matata timu nzima inakuwa imekufa, Barca wakiwaga ugenini unaweza sema ni Yanga yaani mpira wa ovyo wanacheza
Ni rahisi sana kuifunga goli barca kuliko timu zingine zilizobaki UEFA , ukifika tu golini imoNi kweli hatuna uhakika wa kupita nilikuwa nazingua tu.
Inter anatutoa 100% Barcelona hii haina uwezo wa kuitoa Inter.
Inter ni timu ngumu sana kwa Barcelona.
Lakini pia Barca ndiyo timu inayoongoza kufunga goli nyingi kwenye mashindano haya.Ni rahisi sana kuifunga goli barca kuliko timu zingine zilizobaki UEFA , ukifika tu golini imo
Yoyote anaweza kushinda endapo safu ya ulinzi haitafanya makosa ya wazi.Nyie Nguchiro safari yenu inaishia San sirro
Mashabiki wa RMA wamehamia Inter sasa tunakuja kuwakanda San SiroMashabiki wa barca bwana 😂😂
Mtu anajitapa ka dominate mchezo, kwani wote si tunajua kwamba inter approach yao ni kukuachia mpira wao utawakuta kwenye counter?
Mtu anakwambia Inter wamefunga magoli ya kona hawana lolote, kwani hamuoni kwamba inter hapo wame exploit weakness ya barca kwenye set pieces?
Mbona mifano ipo mingi sana ya timu zenye mpira wa kihuni ambazo zilizitoa timu zilizokua zinacheza soka safi na ku dominate michezo (Mfano mzuri ni chelsea ya kuungaunga 2012 anawatoa prime barca ya kina messi, xavi, iniesta, busquet ambao walikua ni monsters kuliko hii ya sasa).
Sasa nyinyi endeleeni kujitapa mmecheza vizuri wakati jana kazi yenu ilikua ni kuchomoa tu(mlipigwa kamba ya 4 msisahau) wenzenu wanaangalia weakness zenu ndogondogo wanapiga hapohapo, this is knockout stage bro.
Mzani wa Magoli ya kufunga na kufungwa hayatakiwi kukalibina kiasi Cha mzani kuwa level hasa ktk mguu wa kwanza...Jana Nina uhakika Hans hajafurahishwa kulazimishwa sare na Inter hasa akiwa nyumbani.Sababu tu umeongea kitu ambacho hapendi kusikia.
Kuwa shabiki wa timu fulani hakukuzuii kukubali kwamba timu yangu ina weakness hizi, weakness ambazo zinaweza kutugharimu.
Nimeona anavyokujibu unapojaribu kuweka facts inaonyesha hataki kabisa kukubali kwamba barca hana uhakika wa kupita kama anavyotaka kuamini.
Sasa unashangaa Barcelona kufungwa goli tatu na inter ambayo wewe unaiona mbovu.Sasa ni Mbovu I'll kuja kupata goli 3 ugenini sio Jambo la kubeza.... Rudi jitafakari.
SawaaKaa hapo hapo usubiri Jumanne wiki ijayo ujionee
PSG alifungwa kabisa nyumbani na Livepool achilia mbali draw lakini alikuja kumtoa liver anfield.Mzani wa Magoli ya kufunga na kufungwa hayatakiwi kukalibina kiasi Cha mzani kuwa level hasa ktk mguu wa kwanza...Jana Nina uhakika Hans hajafurahishwa kulazimishwa sare na Inter hasa akiwa nyumbani.
😂😂😂😂😂Barca hatoboi, San Siri Lamine yamaal anaenda kupigwa pin Moja matata timu nzima inakuwa imekufa, Barca wakiwaga ugenini unaweza sema ni Yanga yaani mpira wa ovyo wanacheza
Shida ya Barcelona tangu msimu umeanza imekuwa ni backline,sio rahisi kurekebisha ndani ya mda mfupi huu labda wafunge magoli mengi ambayo hayatafikiwa na InterYoyote anaweza kushinda endapo safu ya ulinzi haitafanya makosa ya wazi.
Mechi bado mpya kwa wote. Japo home team ana advantage.