Hayo magoli matatu aliyoyapata kwani yeye ndo wa kwanza kuyapata dhidi ya Barcelona?Umemkuta inter form Mbovu bado anapata Goli tatu ugenini.
Unapata picha gani ?
Ungekutana na ile version aliyokutana nayo Pep ..safari ilikua imeisha.
Sawa mi nipo na hawa jamaa wa katalunya maana hawachelewi kudai kujitenga hawa.Nayeweza kuungana naye ni adui wa adui yangu.
So mi na moka na Inter.
Usipuuze Kona Mana wala set piece yoyote ile.Halafu magoli mawili ya kona!
Mwisho ikawaje baada ya huyo Tchouameni wako kutuweka?Usipuuze Kona Mana wala set piece yoyote ile.
Tchouameni juzi tu alituweka usijisahaulishe.
Jibu kilichopo mezani naona umekaa kishabiki sana na majibu flani ya kishamba.Mwisho ikawaje baada ya huyo Tchouameni wako kutuweka?
Mimi au wewe ndiye anayetakiwa kujibu kilichopo mezani?Jibu kilichopo mezani naona umekaa kishabiki sana na majibu flani ya kishamba.
Watu wanakwambia Barca kashatoka.Wachezaji wa Manchester United muda huu inabidi wakae wawaangalie hawa barca wataambulia mawili matatu
Waulize kama waliangalia mechi ya leo? Wakumbushe pia away goal rule siku hizi hamnaWatu wanakwambia Barca kashatoka.
Kisa inter game ijayo atacheza kwake .
Wameangalia ila ushabiki na chuki tu dhidi ya Barca umewajaa.Waulize kama waliangalia mechi ya leo? Wakumbushe pia away goal rule siku hizi hamna
Palepale San Siro Inter wanachakazwa Barca inatinga finalWameangalia ila ushabiki na chuki tu dhidi ya Barca umewajaa.
Timu mda wote inachezeshwa nusu uwanja.
Inategemea bahati za kupiga counter na kona ndo ipate goli halafu anakuja mtu anakwambia Barca kashatoka.
Palepale San Siro Inter wanachakazwa Barca inatinga final
PSG haina ubavu wa kuizua Barca isinyanyue UCL
Na beki gani wa kumpiga pini Yamal?Barca hatoboi, San Siri Lamine yamaal anaenda kupigwa pin Moja matata timu nzima inakuwa imekufa, Barca wakiwaga ugenini unaweza sema ni Yanga yaani mpira wa ovyo wanacheza
Hana ubavu huo huyu dogo tunamjua sana Barca. 31 May tunawacharaza pale Allianz Arena
Nmefatilia majadiliano yenu nimegundua jamaa yuko too emotional barca ikiwa criticized.Jibu kilichopo mezani naona umekaa kishabiki sana na majibu flani ya kishamba.
Itakuwa ni game nzuri tuombe kounde asiwe na injury tuuNawashangaa sana wanaosema Barca kashatoka.
Yani inter leo wameonesha ni kwa kiwango gani hawawezi kuwakaba Barcelona ingawa tuliambiwa wana defence ngumu.
Ukitoa magoli yao ya kona sijaona kama wanaweza kutengeneza nafasi za kueleweka kwa jinsi tulivyowa dominate.
Mbona una poor reasoning kiasi icho eti magoli ya kona, acha kujiaibisha hapaHayo magoli matatu aliyoyapata kwani yeye ndo wa kwanza kuyapata dhidi ya Barcelona?
Halafu magoli mawili ya kona!
Unafikiri second leg tutafanya uzembe ule wa kushindwa kuzicheza kona.
Timu yenu haina mpira wa kuitisha Barcelona kwa alichofanyiwa leo hata wao watakushangaa ukiona wanatutoa bila wasi.