FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nazionale Kwenye mechi sita kashinda moja dhidi ya Cagriari.
Tatu kala kipondo
Mbili sare.
Barca itafute mtu juu pale.
 
Sasa inter ana kazi ipii? Kwako umemshindwa, utamuweza kwake?
😂😂😂😂😂😂
Kwani PSG alifungwa wapi na liverpool first leg?

Kilichotokea second leg anfield unakifahamu

PSG yuko nusu fainali Liver kashatoka kitambo.
 
Sasa subiri ukaoneshwe pira halisi, mbona utakubali mwenyewe.
😂😂😂😂😂😂
Mpira gani?

Watu wanatia huruma lamine anawgeuza kama chapati halafu useme watacheza mpira.

Labda pedri de Jong na yamal wafe.
 
Tupo uzuri kule game dakika 90 nyingine tutakaza..

So far hatuna kikosi kikubwa kupambania makombe yote hayo...

Hata tukitoka sina ninachomdai kocha wala wachezaji...

Tutaelekeza nguvu zetu kwenye ligi...
Bora muelekeze kwa ligi, huku UEFA kuna wenyewe na wenyewe wapoo.
😂😂😂😂😂
 
Kwani PSG alifungwa wapi na liverpool first leg?

Kilichotokea second leg anfield unakifahamu

PSG yuko nusu fainali Liver kashatoka kitambo.
Em acha kujipa matumaini na venye hamna.
Nyiee mshafurushwa bhanaa. Lol
 
Mpira gani?

Watu wanatia huruma lamine anawgeuza kama chapati halafu useme watacheza mpira.

Labda pedri de Jong na yamal wafe.
Mbona wameshindwa sasa kuwapa matokeo hao kina yamal na jong wako?

Je wasingejifunga, ingekuajee? 😂😂😂😂😂
Mpira gani?

Watu wanatia huruma lamine anawgeuza kama chapati halafu useme watacheza mpira.

Labda pedri de Jong na yamal wafe.
 
Kwa mpira upi wa Inter?

Hivi umeangalia kweli mpira?
Hii hatua ni mtoano, sasa wee tembeza ball, watu wanakufunga, afu uone nani anasonga mbele.

Leo enyewe mmefanya kusawazisha yote, afu unatamba. Lol
😂😂😂😂😂😂
 
Scoring instinct ipo chini mno.
Mzee acha utani.

Timu kama inter kukutangulia goli mbili na kuchomoa sio mchezo.

Ukiangalia goli zao mbili ni kushindwa vzuri kuicheza mipira ya kona.

Kinyume na hapo hawana cha maana wanachocheza.

Mpira kila mtu kauona.
 
Hii hatua ni mtoano, sasa wee tembeza ball, watu wanakufunga, afu uone nani anasonga mbele.

Leo enyewe mmefanya kusawazisha yote, afu unatamba. Lol
😂😂😂😂😂😂
Kwani Barcelona ye afungi?

Au mpira umeisha inter 3 Barca 0?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…