Mi ni shabiki wa madrid ila nataka barcelona wabebe hili kombe walilete pale spain tujumlishe na yetu yawe 21 jumla, kisha tushindanishe na timu zote za england tuone jumla wamechukua mara ngapi.
Yani hii mechi inter nafikili walijipanga vizuri sana , wanajua Barcelona SI mchezo walijipanga haswa.
Ila ata Dortmund wangejipanga vizuri first match zile hatokeo yasingekuwa vile.