Mim ni shabiki kindak ndak WA Barcelona na Liverpool alaf Kuna jamaa yang anashabikia inter Milan nimeamua kumuanzishia uzi WA inter Milan special thread
Mim ni shabiki kindak ndak WA Barcelona na Liverpool alaf Kuna jamaa yang anashabikia inter Milan nimeamua kumuanzishia uzi WA inter Milan special thread
Lakini inter wapo vizuri sana kwenye maeneo ya pembeni wakiongozwa na federical dimarco lakn katikati wakikuweka kwenye mfumo na viungo wao kikubwa barcelona tuwaieshmu inter
Naam mechi ya leo ni ngumu, inter wanaitafuta Sana hii nafasi na wamejipanga, muhimu Barca wacheze kwa nidhamu na wawe wepesi kuswitch kwenye plan B mambo yakiwa magumu