wasenge hawahawa betis nani kawaagiza?
Yani Madrid akishapigwa game ya Barcelona inakuaga ngumu. Game hii inatakiwa tushinde tu.Mtani kadondosha point 3 huko kwa Valencia.
Tushindwe wenyewe tu kuchukua kombe msimu huu.
kuna waitaliano wanapiga msako hükü AC MILANYani Madrid akishapigwa game ya Barcelona inakuaga ngumu. Game hii inatakiwa tushinde tu.
Pacha wenu alietoka kung'olewa Meno jionihawa betis nani kawaagiza?
Naam, tutajiweka angalau safe sideYani Madrid akishapigwa game ya Barcelona inakuaga ngumu. Game hii inatakiwa tushinde tu.
OkayAl-mukheef njoo hapa majibu yako yako hapa.
Nakusihi uwe mshabiki wa FC Barcelona kwani hiyo ndiyo timu iliyotembeza Mpira mzuri tangu dunia kuumbwa.Okay
Nilipokuwa mdogo nilikuwa shabiki wa Barcelona hasa kwa sababu ya Messi lakini alipoondoka na mimi nikaondokaNakusihi uwe mshabiki wa FC Barcelona kwani hiyo ndiyo timu iliyotembeza Mpira mzuri tangu dunia kuumbwa.
Mimi nitamfuata Messi popote pia nitaendelea kuwa na BARCA.Nilipokuwa mdogo nilikuwa shabiki wa Barcelona hasa kwa sababu ya Messi lakini alipoondoka na mimi nikaondoka
BARCELÖNA foreverMimi nitamfuata Messi popote pia nitaendelea kuwa na BARCA.
Mimi nimebakiwa naMimi nitamfuata Messi popote pia nitaendelea kuwa na BARCA.
Nitakufa nayo.BARCELÖNA forever
Nasikia umehamia real MadridMimi nimebakiwa na
Messi pamoja na Argentine
Hapana mimi ni yanga tu dunia nzimaNasikia umehamia real Madrid
Mkuu unaishabikia UTO?Hapana mimi ni yanga tu dunia nzima
Vp kwaniMkuu unaishabikia UTO?