Namtaka aliepost hii aje
Hawezi kuja Barca tunawasha sana moto.Namtaka aliepost hii aje
Kabisa kaka tunaanza kurudi enzi za ubora wetuHawezi kuja Barca tunawasha sana moto.
Kabisa.Kabisa kaka tunaanza kurudi enzi za ubora wetu
Itakua balaa sana namuona gavi olmo wote wako ndan na yule kipa wetu mpoland yymoKabisa.
Yani Hansflick ndani ya muda mfupi sana ameitransform timu kuwa promising.
Ngoja tuangalie pia wachezaji wetu muhimu wote wakirudi itakuwaje.
Naam. Naaamvilio sasa basi