tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,832
- 8,249
Messi mtupu.Hakuna anayeangalia gemu leo,,ebwana Barca wamewaka huyu Yamal hatari
Messi mtupu.Hakuna anayeangalia gemu leo,,ebwana Barca wamewaka huyu Yamal hatari
Huyu mtoto ana akili balaa angalia goli la 5 pasi alivyopiga alindwe kwa nguvu zote aises.Messi mtupu.
Tatizo lenu mkiwa na red card hamuwezi kuform shield. Mpo pungufu afu mnajihamba kumiliki mpira. Ingewafaa kuform shield huku mkipiga mshambulizi ya kushitukiza. Monaco walicheza kichovu sana ama sivyo mngekula nyingi jana.Baca wako pungufu aisee
Sisi sio manyumbu kama nyinyi.Barcenyeto leo draw
Kwamba?Sisi sio manyumbu kama nyinyi.
Hawa under 18 wakifungwa kuna kahuruma fulani hivi kinakujaNimefurahi


