Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,892
- 17,648
Muache ajichanganye forca Barca
Nitakuja kukujibu tukishamchukua Nico williamMsimu huu mkikutana na Madrid ,mtajuta kuingiza timu uwanjani.
Mamaeee huku vini huku Mbappe huku Rodrigo huku bellingham ,ni mpera mpera mwanzo mwisho
Mtajua kilichomtoa manyoya kuku kishingo
Hivi huyo mtoto anaweza kutua barcaNitakuja kukujibu tukishamchukua Nico william
Tatizo la Barca ni hela kwa sasa ila nadhani president anataka kufanya kila liwezekanalo dogo atue paleHivi huyo mtoto anaweza kutua barca
Hujielewi mzeeBarcenyeto
Tumeshamchukua huyu dogo?Welcome Nico Williams forca Barca
Swala la mda tu shuhuli ishaishaTumeshamchukua huyu dogo?
Itakuwa poa sana tukimpata huyu dogo.Swala la mda tu shuhuli ishaisha
Sanaa yupo vizuriItakuwa poa sana tukimpata huyu dogo.
Ubavu akitulia huyu ubavu lamine yamal patakuwa hapatoshi.
Vipi uwezekano wa kuwapata hao madogo ni mkubwaNicco Williams na Dani Olmo wataleta uimara kwa kiasi kikubwa sana kwenye ushambuliaji wetu kama tutawapata wote.
Shida yetu inabaki kwa defensive midfielder. Bila kumpata mtu wa maana hapo, bado tutapata tabu!
Vipi uwezekano wa kuwapata hao madogo ni mkubwa
Duuh sawaDani Olmo ameonyesha nia ya kutaka kucheza Barcelona. Hapo kazi inabaki kwetu kufikia mahitaji ya kifedha.
Nicco Williams, uongozi wa Barca umeonyesha direct interest na mazungumzo yameanza upande wa club na mchezaji mwenyewe. Nadhani kinachosubiriwa ni Nicco mwenyewe atoe greenlight. Nadhani wiki hii mambo yataenda vizuri.