FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tukishinda game yetu ya 14/5 against Espanyol rasmi tunabeba ubingwa wa La liga.

Madrid baada ya kukandwa na Sociedad wametusaidia kupunguza mechi kutoka 2 kuwa 1.

Visca el Barca.
 
Hello barca fans!,dah jukwaa limepoa kichizi hili shida nini!.Naona leo Barca tunaweza kutwaa La Liga title tukimfunga espanyol( Ni derby hii).Ni muda sasa toka 2019.La Liga title ,super cup zinatosha kwa msimu wa kwanza wa Xavi Kama kocha .Hope next season tutakuwa bora zaidi. Visca Barca[emoji123][emoji838][emoji837]
 
Visca Barca[emoji837][emoji838]
20230514_120138.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]barcenyeto wamekimbia uzi
Tangu upigwe nne na man city kazi yako imekuwa kubadilisha majina na kujipitishapitisha kwa wanaume huku unakitingisha.
 
Usajili vipi mazee? Tunamchukua nani?

Nimeona Xavi anasema anahitaji vijana watatu, akiwemo midfielder wa nguvu.. Namtamani sana Bernado Silva
 
Usajili vipi mazee? Tunamchukua nani?

Nimeona Xavi anasema anahitaji vijana watatu, akiwemo midfielder wa nguvu.. Namtamani sana Bernado Silva
Baada ya Messi saga,Priority kwa Sasa ni ;
√ Defensive Midifilder
√Attacking Midfielder
√ Striker
√Right back

Nafasi ya DM( Xavi anamtaka Zubimendi au Kimmich( Dili ngumu sana hizi) ngoja tusubiri.)
Attacking Midfielder( Xavi anamtaka Gundogan for free( Uamuzi upo kwa Gundo mwenyewe)

Striker ( inasemekana dogo kutoka palmeiras Vitor roque).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom