IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,812
- 7,277
Toa uchawi wako hapa. Bayern kwanza lazima abebe ndoo.Ikiwa Bayern Munich itamaliza nafasi ya 2 kwenye Bundesliga na Fc Barcelona ikashinda La Liga basi kuna uwezekano mkubwa kwamba Bayern na Barcelona wanaweza Kupangwa kundi moja la UCL msimu ujao... [emoji23][emoji91]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app