FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Baada ya Messi saga,Priority kwa Sasa ni ;
√ Defensive Midifilder
√Attacking Midfielder
√ Striker
√Right back

Nafasi ya DM( Xavi anamtaka Zubimendi au Kimmich( Dili ngumu sana hizi) ngoja tusubiri.)
Attacking Midfielder( Xavi anamtaka Gundogan for free( Uamuzi upo kwa Gundo mwenyewe)

Striker ( inasemekana dogo kutoka palmeiras Vitor roque).
Palikua na tetesi za Bernado Silva hivi karibuni. Nadhani City wamuwekea ngumu kusepa. Tumgempata yule kijana, ingekua hatari sana kwa wapinzani.
 
Palikua na tetesi za Bernado Silva hivi karibuni. Nadhani City wamuwekea ngumu kusepa. Tumgempata yule kijana, ingekua hatari sana kwa wapinzani.
Bernado silva kumpata kwa sasa ni ngumu Bado La liga FFP inatubana sana ,Gundogan ndio tunaweza kumpata kwa free kama ataamua kuja.
 
Wakuu mna siri sana. Kumbe wachezaji wenu "wanaharisha" af hamsemi kitu.

Screenshot_20230725-140131_Instagram.jpg
 
Nyie vitungu,, zama zenu zinaenda mwisho, subilini vipigo tu msimu hu na wale wazee wenu
 
Nyie vitungu,, zama zenu zinaenda mwisho, subilini vipigo tu msimu hu na wale wazee wenu
Gavi mzee, Pedri mzee, Fati mzee, Ferran mzee, Araujo mzee, Dest mzee, Dembele mzee, Kounde mzee, Balde mzee, De Jong mzee.

Vijana ukiwa nao wewe inatosha. Kama huamini, leta team yako msimu huu!
 
Mtani amekula kipigo kizito hapo Marekani. Hatunaga mechi ya kirafiki na Madrid!
 
Naona Dembele kawakubalia PSG, hiyo 50M tumalizane na City watupatie Bernado Silva.
 
Naona Dembele kawakubalia PSG, hiyo 50M tumalizane na City watupatie Bernado Silva.
Share yetu kwenye hiyo 50M ni ndogo sana ndo maana Barca wanasita kufanya negotiations so sidhani kama itatosha kumpata Silva na City walishaeka ngumu kumuuza.
 
Nyie barcenyeto mmetufunga friendly match
Tutakutana kwenye ligi kenge nyie
Halla Madrid 🤍🤍
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom