🤣🤣🤣Barcenyeto View attachment 2378210
Araujo Christensen wote majeruhi beki tegemezi sasa hivi ni kounde ambae nae ametoka kwenye majeruhi juzi tu hapo.Alonso leo ndo beki yenu ya kati. Aseee nawaombea mpate matokeo ila defenders wenu mdebwedo sana asee na hamjasajili
Hapo sasa ndo mtajua hamjui mnasajili kama yanga beki kule nyuma imekuwa tenga la nyanya matundu mengi aseee mwaka huu mtaloweshwa sana magoliAraujo Christensen wote majeruhi beki tegemezi sasa hivi ni kounde ambae nae ametoka kwenye majeruhi juzi tu hapo.
Mechi ya jana imeisha 3:0 na Kounde alikuwa beast, ni vile tu Araujo aliumia mechi zilizopita,sidhani kama inter na madrid wangetufunga kirahisi.Hapo sasa ndo mtajua hamjui mnasajili kama yanga beki kule nyuma imekuwa tenga la nyanya matundu mengi aseee mwaka huu mtaloweshwa sana magoli
Mwenzao Juve kashatangulia uropa🤣🤣🤣.Nyie barcenyeto wazee wa uropa mnaiaibisha bendera ya Spain waja laana nyie Leo ndyo mtajua hyo tuzo govi gavi alipataje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Musiala hat trick [emoji91][emoji91][emoji91]
Naona nyie jana mliiwakilisha vyema bendera ya Spain kwa Leizpig!Nyie barcenyeto wazee wa uropa mnaiaibisha bendera ya Spain waja laana nyie Leo ndyo mtajua hyo tuzo govi gavi alipataje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Musiala hat trick [emoji91][emoji91][emoji91]
Tulia uone bayern anavokufa leoBarcenyeto mnacheza ili iweje sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mnamsajili Lewandowski,raphina kuja kucheza uropa laana ya kuiba wachezaji kwa cheltako inawatafuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna uwezo wa kumfunga Bayern kacheze uropa huko na arsenyeto huko atakuchakaza bora ukacheze conference league [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia uone bayern anavokufa leo
Zimebaki dakika tu, tunza akiba ya manenoHuna uwezo wa kumfunga Bayern kacheze uropa huko na arsenyeto huko atakuchakaza bora ukacheze conference league [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaona nyeto mnavyocheza ni aibu aisee Kwan mpo Allianz ArenaZimebaki dakika tu, tunza akiba ya maneno