Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,795
Vini hat trick 








Tambua hili, inter ni ngumu kuliko bayernKama inter anakwenda camp nou anajipigia je buyèrn munchen aje awafanyeje umbwa nyie. Futuhi ueropa inawqhusu tena
Bayern ipi unaiongelea hii hii bayern ya akina Leroy sane, sadio mane na akina Musila. Emu ngoja wajerumani waje hapo camp nou kuwapaka kilainishi mwende futuhi.Tambua hili, inter ni ngumu kuliko bayern
Kwasababu kwa mfumo wa xavi ni ngumu kuziattack timu zinazodefend low block na kuweka mtu tano nyuma.
Ndomaana hata mallorca alistruggle.
Bayern ana uwezekano wa kupigwa camp nou
Kinachoiponza barca saivi ni beki mbovu kutokana na majeruhi....ila Bayern ni wachumba sana saiv hawafiki popote UEFABayern ipi unaiongelea hii hii bayern ya akina Leroy sane, sadio mane na akina Musila. Emu ngoja wajerumani waje hapo camp nou kuwapaka kilainishi mwende futuhi.
Daaa hivi bayern na barca nani anakuwaga mchumba kwa mwenzake maana naona kumbukumbu umepoteza vileKinachoiponza barca saivi ni beki mbovu kutokana na majeruhi....ila Bayern ni wachumba sana saiv hawafiki popote UEFA
Usiishi kwa historia mkuu...kihistoria hata madrid ni mchumba kwa barcaDaaa hivi bayern na barca nani anakuwaga mchumba kwa mwenzake maana naona kumbukumbu umepoteza vile



Tumezishuhudia saba zikija Camp nou ndani ya miaka isiozidi 12, hizo hazitushtui kabisa sisi!Mnakaribishwa kuangalia balloon dor ya Benzema![]()
Nyingiñe zilikuwa za mchongo tuu. Frank Ribery na Lewandoski walinyimwa tuzo zao ili FIFA na ADIDDAS wampe mtu waoTumezishuhudia saba zikija Camp nou ndani ya miaka isiozidi 12, hizo hazitushtui kabisa sisi!
Toka aje mapunye kirikuu hapo barcenyeto Ni Nani ameshinda hyo Ballon dor tofauti na huyo kirikuu sisi tuna modric na BenzemaTumezishuhudia saba zikija Camp nou ndani ya miaka isiozidi 12, hizo hazitushtui kabisa sisi!