Underwood
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 1,908
- 3,134
Jana Celta vigo waliwakimbiza Sana Barca yaani utasema Jamaa wako mazoezini ni vile tu bahati haikuwa upande wao.
Celta haijawahi kuwa rahisi kwa Barca
Jana Celta vigo waliwakimbiza Sana Barca yaani utasema Jamaa wako mazoezini ni vile tu bahati haikuwa upande wao.
Tuko na mechi muhimu sana UEFA jumatano, ndio maana team haikutumia nguvu sana game ya jana. Pia Celta sio wachovu.Jana Celta vigo waliwakimbiza Sana Barca yaani utasema Jamaa wako mazoezini ni vile tu bahati haikuwa upande wao.
Hii mechi ya jumatano ni do or die asee!Tuko na mechi muhimu sana UEFA jumatano, ndio maana team haikutumia nguvu sana game ya jana. Pia Celta sio wachovu.
Cha msingi ni kwamba tulipata point tatu muhimu!
nafikiri hii ndo itakuwa our season match.Failure to win in this match ni direct to Europa,i pray isitokee tena hii,ni bora tubaki na ligi tu kuliko kwenda Europa, its shameful & wastage of time!.CCNP engineer, hujachoka kujiita mama Debora?Naombea leo Barcelona wafungwe 2 - 1 na INTER MILAN.
Mkuu inaelekea dictionary yako imejaa neno punyeto au unaipenda sana... uzi wa Barcelona wewe unaleta punyeto..Barcenyeto MJIANDAE kucheza uropa waja laana nyie kazi kupiga punyeto tu
Huo ujauzito wa Barca ulioubeba mbona umechukua muda mrefu sana?Barcenyeto MJIANDAE kucheza uropa waja laana nyie kazi kupiga punyeto tu



bora mcheze uropa huku mtapigwa mtachakaa 






hii timu ina laana aiseeeee






AhahahaChumaahii timu ina laana aiseeeee
Mjiandae kwenda futuhi tuuNipeni matokeo
Kwann mkuu!?Mjiandae kwenda futuhi tuu
3:3Kwann mkuu!?
Nipeni matokeo ya Jana wapendwa!
Ndimi katibu wa masanja!