FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Poleni sana kwa kutana na Yale mashetan ya german

Yanashambulia muda wote, sijui mtajificha wapi

Cha mhimu angalien msipigwe 7
dah....mkuu uliona mbali sana wale wajerumani sio watu kabisa kwa misimu hii 12 ya UEFA ndo wanaongoza kutoa dozi nzito.
 
Poleni sanaaa .
Mana ni msiba mzito tupo pamoja kwenye kipindi hichi cha maombolezo..
Sisi Chelsea na Barcelona ni ndugu moja.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Bayern Wanatinga Nusu Fainali KIBABE ✊ FT': Barcelona 2 - 8 Bayern München ⚽4' Müller ⚽7' Alaba (OG) ⚽22' Perisic ⚽28' Gnabry ⚽31' Müller ⚽57' Suarez ⚽63' Kimmich ⚽82' Lewandowski ⚽85' Coutinho ⚽89' Coutinho
 
Messi ni mbuzi iliyopigwa bao 8.
 
Man City hatuna presha twamsubiria tulipize kisasi
 
Bayern ni Thiago

Thiago asipotembea Barcelona inashinda game kirahisi tu...

Ili Bayern icheze Thiago ndo mchezeshaji

Hawa akina Lewendoski sijui Glaby sijui nani ni Wakawaida sana mbele ya Barça
 
Timu Messi kule kwetu sijui wana hali gani. Sema tu hawapatikani. Wakatalunya mai futi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…