FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nilijua Bayern atashinda ila siyo kwa idadi hii ya magoli.

Unaweza shangaa kwanini Barcelona hawakua wakifanya sub. Ni kwakua hata huko nje hakuna ambaye angeweza kuokoa jahazi.

Arsenal tungefungwa idadi hii ya magoli tungeambiwa mabeki wetu hawafundishiki.

Poleni.
 
Mimi muda wa kuitazama siku hizi sina unauza arthur melo halafu unakaa na wazeee badala ya kuweka vijana pamoja shauri yao na bartemou wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom