Na hii kutupanga na bayern si kutaka kutumaliza?nikiwafikiria kina Lewandosky na muller miguu inaniisha nguvu hiyo ijumaa




Hawa Bayern lazima wafe kibabe sana. Lenglet tunamuachia atembee na Lewandoski. Griezman iyo siku atupishe, tunawaweka Busquet, De Jong, Raktic na Sergi Roberto wakichafue Kati pale lazima Waite maji mma
Mpr una maajab yake mkuu..Ukweli tujiandae na kipigo cha umbwa koko.
Kama Game ni moja na inapigwa Camp Nou, ni ngumu saana Barca kutolewa.Mpr una maajab yake mkuu..
Mambo ya mpr yamesha shangaza wengi Sana Asa pale team inapewa Sana nafas ta kushinda..
Mda utaongea.
Game ni 1 mkuu.. Lkn game zote za hatua hii had final zinapigwa Ureno uko LisbonKama Game ni moja na inapigwa Camp Nou, ni ngumu saana Barca kutolewa.
Jana nimetazama mechi nimeona timu ikiwa na ari mpya.
Nimetazama kikosi cha bayern sioni kama kina maajabu. Timu ikicheza kwa ari kama ilivyocheza na Napoli, basi tunaondoka na ushindi. Tatizo la Barca ugenini huwa hainaga matokeo ila Bayern ugenini hainaga mzaha.Game ni 1 mkuu.. Lkn game zote za hatua hii had final zinapigwa Ureno uko Lisbon
Lkn mpr una maajab Sana,asa pale m1 anaonekana anashnda kirahs Tena izi game moja
Ngj tusbr mda uongee.
Sikujua game kuwa ni moja.
Hii game ingekuwa home and away ningesema tuna 40% ya kusonga mbele UEFA kwa kumtoa Bayern.
Endapo de mbele angekuwa mzima hii game ingekuwa ni nzuri zaidi kwa barca.
Nitapendekeza kati awepo de jong, busquet na rakitic au arthur. Serg robert ikae bench kwanza.
[SUP]Hiyo ndo shida kubwa ya Barcelona; siku hiyo utaona wakifika golini kwa Bayern na kuleta madhara makubwa sana. Fikiria Chelsea iliyokua kwenye form mbaya hivi imefika langoni kwa Bayern japo wamefungwa kwa makosa ya wazi kabisa ya safu ya Ulinzi.[/SUP]Mara nyingi tukicheza na mitimu mibovu huwa tunashinda kwa mbinde sana...ila tukikutana na team bora like Bayern mapeema tunashinda 😊
Jipe moyo wale watu majiniAcheni uoga...bayern anakufa vizuri tu...yaani nyie mnaogopa kisa lewandosk yupo...bayern anagegedwa kweupee
Majini eeh subiria uone sasa...si tupo wote hapa tuombe uzima tuAcheni uoga...bayern anakufa vizuri tu...yaani nyie mnaogopa kisa lewandosk yupo...bayern anagegedwa kweupee
Aaya tuombe uzimaHakuna timu ya kucheza na Bayern hapa
Hakuna cha kuomba uzima mpira hauna miujiza kama timu lako bovu litapigwa tuAaya tuombe uzima
Wewe utakuwa Real Madrid Au Juve... Mnahasira sana..Hakuna cha kuomba uzima mpira hauna miujiza kama timu lako bovu litapigwa tu

