FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kipigo Cha Mbwa koko leo tunachezea....nilisema hapo Nyuma watu wakabisha hakuna timu hapa MESSI AUZWE AUZWE ANAWAPA WAKATI MGUMU WALIMU.
 
Unajua watu wanajua Bayern ni timu ambayo ni kikosi strong sana, hapana, Bayern ya sasa ni ya kawaida kabisa ila ikikutana na timu ipo weak inakupiga nyingi coz wanacheza kwa kushambulia kwa kasi.

Sitaki kuamini leo akina Kimmich na Davies, Alcantara leo watambe. Hiko kitu sio rahisi.

Bado sijaona mids nzuri za Bayern zitakazoweza kuweka uzito wa hali ya juu kwa Barca.

Kuna mda pia nafikiria kule mbele waanze tu Suarez, Griezmann na Dembele, then kati Messi, De Jong na Busquets.
 
Buyer yanashambulia kama nyuki, yanakuja tu, barcelona katulia zake, yenyewe yanakuja to

Cha mhimu hapa ni kupaki basi, mpaka kieleweke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom