FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sisi Barca tunafanyiwa hujuma kwa sababu timu yetu ina wachezaji wengi Weusi.
 
Kati ya match zilizobakia Real Madrid hawataamini watapoteza moja na kutoa draw match moja na kikombe kitarudi Camp Nou kama kawaida

Barcelona atashinda match zote zilizobakia

Huu sio utabiri ,hizi ni expert calculations,hata marefa wakiwabeba Kama ilivyotokea match 3 zilizopita hawatachukua Laliga

Ushindi wao mwembamba wa goli 1 sio bahati mbaya wana technical problem ya attacking line yao ....huwezi kuchukua ubingwa na forward mbovu kiasi kile
 
Tatizo marefa wa La Liga wanawabeba sana R.Madrid
 
Kati ya match zilizobakia Real Madrid hawataamini watapoteza moja na kutoa draw match moja.

Huu sio utabiri ,hizi ni expert calculations,hata marefa wakiwabeba Kama ilivyotokea match 3 zilizopita hawatachukua Laliga

Mganga wa jadi!
 
Laliga 2019-20

Baselona VS Madrid mechi ya kwanza iliisha kwa draw

Madrid VS Baselona mechi ya pili Madrid alishinda 2-0

Ili muongoze ligi inabidi mechi 3 kati ya 4 zilizobaki Madrid wapoteze zote au wafungwe moja na kudraw 2

Itawezekana?
 
We nae acha ushabiki maandazi.
Ukweli ni kwamba, Madrid tukipoteza game hata moja tu (mfano leo dhidi ya Alaves) ujue ubingwa tunaukosa.
 
Mkuu nakubaliana na wewe, hao watu wabaki tu ila akina Pique, Suarez, Griezmann wote ni wa kuwatimua.

Ousmane Dembele ni mzuri sema majeruhi ndo kikwazo.

Yeah, Ousmane ni mzuri sana, sema majeruhi yanamwandama
 
Kazi ya striker ni nini!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…