Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
hahahahaaaaa,
jamaaa wanaringia majina makubwa tu kwa sasa..........overhaul inahitajika tena ifanywe kwa umakini zaidi
- pique
- lenglet
- bosquet
- semedo
- rakitic
- vidal
- suarez
- griezman
- dembele
Kabisa aiseeHili deal silikubali kabisa
Mkuu nakubaliana na wewe, hao watu wabaki tu ila akina Pique, Suarez, Griezmann wote ni wa kuwatimua.Bodi ya usajili imejaa utitiri kwanzia abidal na wenzie, hawafai kwendelea..na ifike mahala uongozi umpatie Messi jukumu linalohusu swala la "usajili" anaowataka yeye...
Kwanzia Foward, kati pale and all defenders fukuza kabisa....wabakie, Ansu, Puig, Lenglet, De jong..Bousquets and Braithwaite though umri nao umewatupa ila si haba, still wanajituma.
Dili la Lautaro sijui ndio limekufa hivyo! Huyu angetufaa sana sana...ana speed, nguvu, dribbling...ni striker aliekamilika hata umweke pembeni jamaa anakiwasha tu...
Ni mpumbavu asiyeona mbali ndo anaweza akakupinga, ondoa Messi, kule mbele tia vijana. Ngoja ni lazima ichangamke.Acha tumalize msimu without any troophy labda board ya barca ndo istashtuka
Kiukweli mimi batoromeu na abidal hata siwaelewi sijui wana malengo gani na hii timu
Na kingine hivi unajua messi akiondoka pale timu itakua ina perform vizuru sana niukize kwanini ntakwambia
Daima Messi akipata ushirikiano mzuri barca hunoga sana
Shida yetu ni kijana mwenye kariba ya Neymar Jr, ndio sababu toka Dembele awe pembeni barca tumetaabika pakubwa
Suarez nae amekua si wa kutegemea sana tena amekua mkosa mkubwa wa nafasi za wazi huyu ameicost timu kwa kiwango kikubwa mno
Bona Suarez karibu kila mechi anafunga. TRNA mabao mengine anapiga hadi visigino! Mbona hamridhiki nyie?Mkuu nakubaliana na wewe, hao watu wabaki tu ila akina Pique, Suarez, Griezmann wote ni wa kuwatimua.
Ousmane Dembele ni mzuri sema majeruhi ndo kikwazo.
Ni mpumbavu asiyeona mbali ndo anaweza akakupinga, ondoa Messi, kule mbele tia vijana. Ngoja ni lazima ichangamke.
Suarez kapungua Sana sio yuleJana Surez kafunga lakin. Ama mnataka awe anafunga kuanzia goli mbili kwa mechi
Messi si wa kutoka barcaOndoa Messi? Messi huyu aliyetoa assist mbili jana na mechi ilopita alifunga mababo mawili?
It's time to move on.Mnaosema Messi asiondoke mnatafakar kwa mapana? Messi atakaa hapo milele?
Leo hii twaishuhudia Madrid ilivyo baada ya kuondoka Ronaldo, tuachane na Ronaldo, turudi ktk Barca hii hii.
Kwanini Iniesta na Xavi mpaka leo nafasi yao inaonekana kuwa haijazibwa?
1. Tuliwaacha wacheze kwa miaka mingi, wakiwa ktk age ya 32 wangeweza kuuzwa.
2. Hatukuamini vijana ambao tulitarajia wangerithi nafasi zao au niseme hatukuwapa nafasi.
Leo hii timu kila ikishambulia ni lazima imtazame Messi, hii inafanya kila mchezaji ndani ya Barca asiwe na uhuru zaidi wa yeye kufanya atakacho ila ni lazima atazame nafasi ya Messi.
UMEMALIZA MKUU. TIMU IFUMULIWE NA IANZE UPYA.It's time to move on.
Kiwango kimepungua sana.
Timu inatakiwa ifumuliwe na isukwe upya