FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nimefurahi sana... atm katuwakilisha sisi kama laliga licha ya kuwa 6th kwenye table

Raha sana
Wabaya wetu leo nawaombe dua mbaya wapige pale pale anfield

Sent using Jamii Forums mobile app
Jionee walivyochakazwa
ES3fzNBUwAMM9kx.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
UEFA have announced all Champions League and Europa League games next week have been postponed due to ongoing coronavirus pandemic.


The postponement also applies to UEFA Youth League, with further decisions on when these matches take place "to be communicated in due course".

As a consequence of the postponements, the UCL and UEL quarter-final draws scheduled for 20 March have also been postponed.
 
Uongozi nao wamekua wazito sana katika swala zima la usajiri..tunahitaji difenders at least viwango vya Carles puyor na Dani alves angalau watatu..kule mbele Messi aletewe wasaidizi wawili watatu matata...
Sajiri Neymar Jr,Martinez hata Mbappe....hii itasaidia hata messi anapumzika siku moja moja kuliko ilivyo sasa kila kitu,kila game ni messi tu tunamchosha na kumchakaza
Mbona Pep Guardiola ameweza kuweka kikosi imara?tatizo lipo wapi barca?

Sent using Jamii Forums mobile app


Bora ya dybala kuriko neimar jombaa
 
hebu subiri siku mkifikisha UCL tano ndio uje kuongea na sisi. Kwa sasa kasutane na watu wa arsenal ndio level yako.
Mimi na deal na wewe kama Madrid fan. Je nikikwambia uzitafute tano nyingine ndio uje tuongee utaweza? Arsenal hapa haingii kwa sababu hajawahi nusa kabisa.
 
Nilichogundua hili picha linaogopwa sana humu. Naomba mniwie radhi kwa kuwapa kumbukumbu chungu kwenu ila ndio mpira huo.
 
Siku moja tu mribahatisha,,,mbona hamkuenderea ivyoivyo? Messi aliwafanya nini mwak jana cjui mwaka juzi na wakina hazard wako?
Teeh.. mzee pole sana. Kwenye mpira hakunaga kubahatisha. Halafu ukiongelea swala la wachezaji mbona hata sisi mwaka 2004 kama sikosei tuliwapiga mkiwa na majembe yote. Puyol, Etoo, Ronaldinho na Xavi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom