FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Semedo,Pique wame suffer sana leo
2nd half hali ya mchezo ikabadilika...tatizo letu kubwa mbali ya strikers wageni...ni UKUTA WETU,magoli yote mawili ni mapungufu yao
Kati wanajitahidi,hata akina Messi nao wabaki kujilaumu wenyewe kwa kukosa nafasi za wazi nyingi...kukosekana kwa akina Suarez kunatucost japo Braithwaite atasaidia jahazi
Tukubali matokeo pointi moja tulozidiwa nina imani tutaicover soon na kurejea kileleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nimeelewa kwanini wanasema Bernabeu ni Barcelona training ground.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom