Semedo,Pique wame suffer sana leo
2nd half hali ya mchezo ikabadilika...tatizo letu kubwa mbali ya strikers wageni...ni UKUTA WETU,magoli yote mawili ni mapungufu yao
Kati wanajitahidi,hata akina Messi nao wabaki kujilaumu wenyewe kwa kukosa nafasi za wazi nyingi...kukosekana kwa akina Suarez kunatucost japo Braithwaite atasaidia jahazi
Tukubali matokeo pointi moja tulozidiwa nina imani tutaicover soon na kurejea kileleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
there are only three points at the santiago bernabeu, and we gotta have them all. my prediction, tunawapiga 3-1.
Wacha aondoke sometimes anaharibu mfano game hii tumefungwa kwa uzembe wa defenders..yeye ndiye alifanywa kichochoro muda mwingi

utabiri wa hali ya hewa
there are only three points at the santiago bernabeu, and we gotta have them all. my prediction, tunawapiga 3-1.
Barça kwa sasa inahangaika, ni kama inabahatisha kwenye usajili yaani haielewi inachofanya
Kila sajili wanayofanya inakuwa ina mshaka....
Ni ajabu sana kuona Barça ya sasa haijui ubora wa wachezaji wenye sifa ya kucheza Barcelona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachofanyika barca sasa hivi ingekua bongo tungesema kuna mamluki katika benchi la Ufundi. Msimu ulioisha timu ilikua vizuri katika ushanmmbuliaji na tatizo ktk ulinzi ila cha kushangaza timu imesajili mshambuliaji badala ya beki . Mpaka sasa hivi sijajua greazman alisajiliwa ili iweje .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipe report Za braithwaite leoHahahahahaha nimempenda huyu jamaa... ana gut..
'Children'
Eder Sarabia (assistant coach): "My way of living football will not change, I will always do it with intensity. But it's true that we must set an example for children. I will stay the same."
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari mkuu tusharejea kileleniSemedo,Pique wame suffer sana leo