FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wachezaji kama vidal na rakitic zama zao zimepita wanapuyanga tu uwanjani sio kwanini arthur kamuweka nje alivyoingia unaona kabisa combination yake na de jong timu inaenda mbele jitu linacheza faulo halafu Linafanya fujo poor vidal
Ukiachana na rafu vidal 2namuhitaji sana kuliko hata dejong na Arthur.... Lakini rakitic wamuuze hata Genk
 
acha ushabiki maandazi wew...
yan kabisa huon umuhim wa vidali....?
wachezaji kama vidal na rakitic zama zao zimepita wanapuyanga tu uwanjani sio kwanini arthur kamuweka nje alivyoingia unaona kabisa combination yake na de jong timu inaenda mbele jitu linacheza faulo halafu Linafanya fujo poor vidal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vidal ni wakumtumia kipindi cha pili yaani mkata upepo
Ukisema hatakiwi ni uongo... labda useme hatakiwi kucheza winger
wachezaji kama vidal na rakitic zama zao zimepita wanapuyanga tu uwanjani sio kwanini arthur kamuweka nje alivyoingia unaona kabisa combination yake na de jong timu inaenda mbele jitu linacheza faulo halafu Linafanya fujo poor vidal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii game - angekuwepo Jordi Alba tungeshinda-entire Napoli team ina defend-Semedo flank mmoja anapanda-Junior Filipo anacheza safety first badala ya kupanda-inabidi Setien amuweke kikao na kumwambia yeye ni wing back otherwise he is of no use ktk mfumo wa Barca.Kama Semedo ameweza ku adjust why not Firpo.
A team like Napoli defending with 10 players behind the ball - using the flanks unawapata kilaini
 
Kwangu napenda sana viungo wakicheza De Jong, Rakitic na Arthul. Ni ukweli uliowazi kuwa De Jong na Arthul twapaswa kuwapa muda mwingi kucheza mpira kwa pamoja.

Kwa sasa kule mbele ni kubovu, Griezmann bado mpira wa Barca unamkataa. Tungekuwa na msaidizi wa Messi ingekuwa nafuu sana.

Walau tungempata Sane au ile wing ya Man City.

Ingekuwa hiyari yangu hata Thiago Alcantara angerudi tu Barca.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sane winga wa mbio mda mwingi so hawezi kabsa kufit mfumo wa basa atakuwa kama zaltan tu

inabidi tuwe carefull na big names-hali ya Barca ni mbaya sababu our recent big signings are not delivering.
 
Tuna kazi kubwa mbele messi anacheza na wageni wengi anakosa ushirikiano unaostahili nyuma beki nayo hasa upande wa firpo ni kuomba mungu tu
Leo hii barca tunapiga cross?
 
El Classico is upon us-do or die-Barcelona papers say Jody Alba will start,question is apart from Greizman and Messi,who will be the other starters upfront? Barca need width otherwise it will be a struggle like the Napoli game. Setien will have to go for width he has no choice according to the papers
 
Griezman,braithwaite.they can both start...later on ansu fati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani leo humu msiwe na wasiwasi hatutaloose point 3 tunashinda au tunadroo.Ila hii mechi inatakiwa tutumie nguvu+akili.Mechi nyingi za El classico pale Bernabeu tunashinda kwa akili zaidi lakin leo na nguvu itumike.Tukilelemaa tunaweza hata kufungwa.

Hii Game akiwepo Alba na mbele tungekuwa na muhuni kama Dembele akiwa na Messi, trust me Madrid hatoki Bernabeu.

Game za Barca akiwa Bernabeu nimezitazama nyingi, Madrid ni ngumu kuchukua ushindi endapo kama Barca leo akiwa na Forward zilizotulia.

De Jong leo na Arthur leo mtakuja kunipa matokeo yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
there are only three points at the santiago bernabeu, and we gotta have them all. my prediction, tunawapiga 3-1.
 
Hii ni 442 to 433 in a way...

Ansu hatumiki kabisa
Screenshot_2020-03-01-22-14-50.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom