ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Assist moja bana
Nyie ni mafala Sana... Aliposainiwa mlianza ooh barca sasa wanasajili li nani? Bora wangechukua Angel saivi mnamwagia misofa kibao...
Huyu atatusaidia sana,sababu fumba fumbua yuko ndani ya 18Huyu boya waith ana movement za kuchakaza timu pinzani hatari... ana kasi ana nguvu ..cant wait to see more aisee... safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Paulinho V 2.0 😁Huyu atatusaidia sana,sababu fumba fumbua yuko ndani ya 18
Raia gani??Kala raia anatamani angekutana na barca ko stage.. daah
Hakuna kufeli.. lazima tushinde leo
Sent using Jamii Forums mobile app
SSC Napoli | 23:00 | FC Barcelona |
| 10' | SSC Napoli | 0-0 | FC Barcelona |
| 15' | SSC Napoli | 0-0 | FC Barcelona |
| 20' | SSC Napoli | 0-0 | FC Barcelona |
| 26' | SSC Napoli | 0-0 | FC Barcelona |