Yeah barcelona wana upungufu wa forward baada ya Suarez na dembele kuumia so wameomba kusajili kuziba nafasi ila wameruhusiwa kusajili mshambuliaji ndani ya laliga tu!Nasikia tumepewa 15 days kumsajiri mbadala wa Dembele.......aliyeifuatilia vizuri news hii pls atujuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app