FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kaanza vizuri japo hajafunga kifupi mfumo wa timu anaumudu vizuri nafikiri anaweza kufanya maajabu tusiyotarajia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Kipa alivopangua lile gol lililobounce kwa Arthur jamaa alimaindi kinoma...kugeuka hivi anaona watu wanashangilia goli..akaenda kinafiki tu lakin usoni unaona kabisa hajafurah
 
Huyu boya waith ana movement za kuchakaza timu pinzani hatari... ana kasi ana nguvu ..cant wait to see more aisee... safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza kuwa mzuri kuliko Griz!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaanza vizuri japo hajafunga kifupi mfumo wa timu anaumudu vizuri nafikiri anaweza kufanya maajabu tusiyotarajia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni mafala Sana... Aliposainiwa mlianza ooh barca sasa wanasajili li nani? Bora wangechukua Angel saivi mnamwagia misofa kibao...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom