FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Grinzy mbona maamuzi yake ni dhaifu sana... hivi hajiamini au ana presha... mipira gani ile anakosa wazi kabisa..

Naona mido zikifosi kwa nguvu sana kupenetrate sio kama nyuma..

Na huyu de jong napenda sana akiwa na mpra tachi zake jinsi anavowatoka watu raha kumwangalia japo kapoteza kiboya boya mipira kadhaa...

Firpo kajitahidi leo movement zake zimekua nzuri sana

Messi naona akianza kufichwa kwenye timu.. na uso wake unaonyesha ni mwenye disappointment kwa ukame wa magoli.. akiguswa kidogo tu lawama nyiingi..

Bus wanamwitaga 'pweza' kweli huyu jamaa ni pweza. Fine as old wine.

Fatiiiiiii... this boy wanacho mzidi ni ubavu tu wanamsukuma sana

Pique concentration sio siri leo imeonekana ...anajiamini sana huyu mjinga...

Ile save ya terstegan kwangu ndio save of the season ....jamaa hatari sana huyu

Bado kuna umuhimu wa '9' ...tukimpata na sane hivi itakua safi maana city wako doomed

Ki ujumla timu imeonana sana zile control under pressure ... biuldup play from deep ni kitu safi sana inafanya niendelee kuamin timu iko kwenye mikono salama ya setien mtaalam.

Visca el Barca.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, winga ya kushoto hatuna. Hatuna mtu wa kupiga chenga kupunguza watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!

1581802203408.png
 
Greizman man of the match leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom