FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kitu inauma kati ya wote hao ni malcom mzee..

Ni ngumu kusema anawachukia nadhani alishindwa tu kuwatumia
Ila Valverde alikuwa anachukia madogo

Malcolm baada ya kufunga goli el classico na kuwa MOTM akakaa benchi miezi miwili kabla ya kucheza tena

Alena baada ya mechi ya kwanza msimu huu akalishwa benchi miezi mitatu kabla ya kuanza tena kucheza

Todibo ameenda mkopo ilhali mabeki wetu ndio hao pique ambaye hayuko serious, lenglet average na umtiti injury prone.

Puig hajacheza hata dakika moja na first team

Wague mpaka apangwe kwenye timu, mara moja kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu inauma kati ya wote hao ni malcom mzee..

Ni ngumu kusema anawachukia nadhani alishindwa tu kuwatumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Utawatumiaje wakati hawakusaidii kushikilia kibarua chako.

Hawa senior players ndio wana sauti. Amejikomba kwao wakambeba.

Alitakiwa afukuzwe alivyotolewa na Roma.

Lakini imekuja Liva, imekuja kufungwa CDR na Valencia bado tu

Amekuja kutolewa baada ya kutolewa kombe la mbuzi

Amesurvive mabomu ya nyuklia anakuja kuuliwa na dawa ya mbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huyo pique apigwe benchi na bora kocha mpya aanze na ukuta wote
Inasemekana alibidi atoke ile mechi na liva lkn 'club de amigos' akina pique walikua wanamsapoti jamaa lkn bodi ilikua imekubaliana tayari wamchukue kocha martin ...si unajua alikua anawapa uhuru hadi anajisifu kwenye media kwamba anafanya biashara zake uku anacheza mpira.. basi rais akashindwa ku excute hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anachezea sharubu
IMG_20200118_204204_229.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni shabiki wa liver halafu mech za barca msimu ulopita ulkuwa huangalii...coutinho alipewa playtime nyingi lakn alchofanya ni Ndogo kulko Malcolm...Malcolm akiingia ulkua unaona impact yake kabisa..
Sema valverde alikuwa anapendelea weupe lakn semedo na Malcolm walkua wachezaj wazur kuliko Roberto na coutinho
kweli wapuuzi hawataisha malcom unamlinganisha na coutinho ndio maana CCM Itatawala milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni shabiki wa liver halafu mech za barca msimu ulopita ulkuwa huangalii...coutinho alipewa playtime nyingi lakn alchofanya ni Ndogo kulko Malcolm...Malcolm akiingia ulkua unaona impact yake kabisa..
Sema valverde alikuwa anapendelea weupe lakn semedo na Malcolm walkua wachezaj wazur kuliko Roberto na coutinho
wewe jamaaa ni m*ehu countinho una mlinganisha na upumbavu kama malcom alikuwepo anajua kwanini bayer wasimtake akatakiwa coutinho malcom uko aliko zenit utalinganisha na alipo coutinho acha kufikiri kwa kutimia Jicho la tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Le Mundo newspaper,limeandika leo TV zote kwa Satien na sio Messi-suala si ushindi ila suala unapatikana vipi?haiwezekani mtu kama Ter Stergen atoe assist ya goal wakati DNA ya Barca ni tik taka-limemkumbusha kwamba kuna cool heads ktk defence ya Barca hawezi kuwaweka bench
 
Ila Valverde alikuwa anachukia madogo

Malcolm baada ya kufunga goli el classico na kuwa MOTM akakaa benchi miezi miwili kabla ya kucheza tena

Alena baada ya mechi ya kwanza msimu huu akalishwa benchi miezi mitatu kabla ya kuanza tena kucheza

Todibo ameenda mkopo ilhali mabeki wetu ndio hao pique ambaye hayuko serious, lenglet average na umtiti injury prone.

Puig hajacheza hata dakika moja na first team

Wague mpaka apangwe kwenye timu, mara moja kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima tukubaliane kuna wachezaji hawana kiwango cha kuchezea Barcelona-mchezaji ambaye ana blow hot and cold water hafai Barca-consistence ni muhimu Barca-ndio maana leo tunajiuliza sana kuhusu Dembele-match moja world class,match 3 he disappears.Naamini hata huyu coach mpya kuna mtu atazipiga sana bench
 
MATCHDAY: Barça | Granada
🏆 La Liga Santander
🏟 Camp Nou
📅 11:00 pm East Africa Time

>>Setien debut as Barça manager

1579442378613.png
 
Ngj tuone leo angalau team tachezea vp.. Lkn nachoamin kocha ni mzr kwa style ya uchezaj na hata kama impact isipo onekana leo moja kwa moja lkn naamin ni swala LA mda tutacheza mpr weny high intensity.. #Vamooooooooooooos
MATCHDAY: Barça | Granada
La Liga Santander
Camp Nou
11:00 pm East Africa Time

>>Setien debut as Barça manager

View attachment 1327620

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah.. icho ndio kitu kila barca fan anawaza..

Kuna raia hawapendi kuona tunataka kurudi kwenye system yetu..'sexy football'
Ngj tuone leo angalau team tachezea vp.. Lkn nachoamin kocha ni mzr kwa style ya uchezaj na hata kama impact isipo onekana leo moja kwa moja lkn naamin ni swala LA mda tutacheza mpr weny high intensity.. #Vamooooooooooooos

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom