FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Touch and possession is back

Zile enzi za mpira kuumulika kwa darubini na kujiuliza tumefungaje pale-video review ?zinakuja

Take the ball ,pass the ball this is our philosophy from our ancestor Johan Cruyyf ,hatutaki tena mipira ya ku defend na kuuogopa

Lastly ...ukizoea kupotea eventually inakua tabia so there was no turning back tena kumuacha Velverde alishazoea failures and relaxing in comfort zone theme which is contrary to Barca beliefs

Nasikia double training activated ,speed of passing imeongezeka ,penetration balls mounts(cone) zimepandwa tena uwanjani ,space ya kufanyia mazoezi imepunguza (Barca players needs very little space in passing and scoring ambao ni msingi hasa wa tiki taka ) ,wachezaji wameambiwa watafute stamina na kukata uzito ...

Unapoingia viwanja wa Joan Gamper training facility (Newly Tito Vilanova )na vitabu vya tikitaka football is defined as the game of finding spaces...,so it's collective game ,to be able to master playing in Barcelona lazima uwe bingwa wa kucheza na ku possess mipira kwenye space ndogo ...that's all the mastery of the game

We are back to business we overwhelm the game ya choking through possession

Jamani...sorry sijaandika muda ila game zetu nafuatilia kama kawaida kila match ofcoarse walichofanya board ndio ilikua alternative pekee baada ya space finding mogue Xavi kukataa ku train team katikati ya msimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No wonder KPB anakuja tena mjengoni... maana ndie forward wa Setien aliemtumia kwenye timu yake ya zamani
IMG_20200115_202208_134.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some players within the squad had to cancel advertising commitments because of Setién's continued training sessions without days off. [cadena ser]

Hakuna mchezaji atakaekua juu tenaa.. pique mzee wa modelling pole sana...

Michezaji mikubwa ilikua inampenda EV kwakua alikua anawaachia sana kila siku off..

Sasa ni kazi tu double session lazima chemistry irudi ...uvivu utawatoka tu

nmependa anavyotaka kumrudisha coutinho

Pique na Vidal walipatwa na Fatique .na wakaanguka kwenye training session ya Jana, kumbuka zinapigwa double ...lazima huyu mzee atafanya mchujo mapema....touch and possession lazima irudi kwa jasho na damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndicho anachotaka kufanya... hakuna tena mambo y 'amigos de club'.. sikuipata hiyo taarifa

Ni muda sana umepita kusubiri mechi ya barca kwa mzuka hivi..

IMG_20200118_065001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndicho anachotaka kufanya... hakuna tena mambo y 'amigos de club'.. sikuipata hiyo taarifa

Ni muda sana umepita kusubiri mechi ya barca kwa mzuka hivi..

View attachment 1326231

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia huko training ni moto moto.
Wachezaji wanapigishwa tizi kama lote.

Walizoea uvivu uvivu. Valverde alikuwa anatoa off day kama pipi. Na tizi lenyewe hafifu.

Ndio maana kwenye mechi almost zote tangu valverde aje, barca players wameonekana kucover distance ndogo kuliko timu zote.

Maana hawafanyi pressing, wala hawafanyi movement ili kutengeneza space ya kupokea pasi

Ni kweli Walikua wazembe kama personality ya jamaa...
Hata uchezaji tu ulikua unaonesha na vile alikua mpole hashout uwanjani basi morale y wachezaji ilikua inashuka dk zinavoenda

IMG_20200117_200409.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana alibidi atoke ile mechi na liva lkn 'club de amigos' akina pique walikua wanamsapoti jamaa lkn bodi ilikua imekubaliana tayari wamchukue kocha martin ...si unajua alikua anawapa uhuru hadi anajisifu kwenye media kwamba anafanya biashara zake uku anacheza mpira.. basi rais akashindwa ku excute hilo.
Barca tulichelewa sana kumfukuza huyu mamluki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana alibidi atoke ile mechi na liva lkn 'club de amigos' akina pique walikua wanamsapoti jamaa lkn bodi ilikua imekubaliana tayari wamchukue kocha martin ...si unajua alikua anawapa uhuru hadi anajisifu kwenye media kwamba anafanya biashara zake uku anacheza mpira.. basi rais akashindwa ku excute hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pique ni nan mbele ya meo???
Boy you talking shit to diarrhea
 
Inasemekana alibidi atoke ile mechi na liva lkn 'club de amigos' akina pique walikua wanamsapoti jamaa lkn bodi ilikua imekubaliana tayari wamchukue kocha martin ...si unajua alikua anawapa uhuru hadi anajisifu kwenye media kwamba anafanya biashara zake uku anacheza mpira.. basi rais akashindwa ku excute hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inamjumuisha na messi, suarez.

Messi namkubali best player ever lakini kwenye hili la kumtetea valverde alituangusha kwa kiwango cha lami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote hao walimsapoti...

Angalia farewell msg zao za juzi waliongea kwa hisia sana kumuaga valverde...

Valverde alipendwa kwa personality yake yaani ni mtu wa watu japo kwenye mpira pale barca aliishiwa mbinu tayari.

Unamchukiaje mtu anaekupa mins especially wachezaji wazee kama akina rakitic pique na suarez..

Ila Valverde alikuwa anachukia madogo

Malcolm baada ya kufunga goli el classico na kuwa MOTM akakaa benchi miezi miwili kabla ya kucheza tena

Alena baada ya mechi ya kwanza msimu huu akalishwa benchi miezi mitatu kabla ya kuanza tena kucheza

Todibo ameenda mkopo ilhali mabeki wetu ndio hao pique ambaye hayuko serious, lenglet average na umtiti injury prone.

Puig hajacheza hata dakika moja na first team

Wague mpaka apangwe kwenye timu, mara moja kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom