FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

mpira sio upadre neymar kazi yake uwanjani inajulikana


Acha kumtetea wewe 😂😂😂 Injury za kila siku wanini sasa...De maria, mbappe na Lcardi umeona kazi wanayoifanya? Yeye abaki kupiga selfie na musicians 😂😂😂 huku tunahitaji watu wenye akili na wakakamavu haswaa na sio kulialia tu...
 
wewe neymar kawaokoa PSG game 3 kama sio 4 anafunga goal moja dkk ya 90 mpira unaisha usimfananishe na hao wanaogawana magori game ya leharve wao sio wajinga mnara wa Paris kuuandika neymar
dembele mpiga nyeto ambae kila siku anaumia tumuiteje sasa kama Neymar ukimuita injury prone
 
Angekuwepo Neymar,tusingekuwa point sawa na Real Madrid-na match za ugenini tusingekuwa tunabahatisha
 
Angekuwepo Neymar,tusingekuwa point sawa na Real Madrid-na match za ugenini tusingekuwa tunabahatisha
tatizo uyo aliyeandika ni mtu mwenye ulevi na watu wa miguu ya kushoto ndiyo maana anambamba dyabala na dimaria mbele ya NeyJr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…