ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Unstopable La Pulga 4x4....
anajumla ya goli 50Naomba kujua mpka kufikia jana messi anagoli ngapi za faulo?
Na kwanini bado hatambuliki kama mpiga free kick bora wa mda wote??
Nani kamzidi kwa magoli ya faulo?


3 Goals within 10 minEV hatufai kwakweliEV wanted the players to figure it out