FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Na Suarez now hakuna jambo pale asee

Kikubwa coach ajitahidi kupanga kikosi tu mfano mbele angeweza kujaribu Messi,Fat&Griezmann
Ila kiukwelimsimu huu barca watakua na hali ngumu zaidi maana timu haina sub hiyo waliokaa nje ukimtoa messi na dembele hakuna wa kufanya maajabu
 
Sifa nyingi kwa Ter Stegen jamani nilisema ukuta wetu mmmh aisee hebu viongozi wetu wajaribu kuangalia pia na upande wa defence sio kutilia mkazo viungo na strickers tu...barca nyuma ni majanga huyo Jodi alba nae ni spana mkononi kama dembele...anachoka sasa ingawa mzuri..Semedo akijirekebisha kidogo tu ni beki mzuri anatufaa aache tu kukaa na mpira muda mwingi au kupenda sana kurudisha nyuma, pique bora afungashe tu ingawa kidogo kwenye header husaidia kiasi...
Beki yetu ki ujumla wapewe mazoezi mengi ya "Marking"..mpira unapokua tunashambuliwa wanajisahau kukaa mtu na mtu...yaani bila Ter stegen hii mechi na dortimund tulikua tufe...zile kosakosa pale langoni kwetu mmmh
Kocha anatuangusha hivi hayaoni haya ?
Game hii messi angeanza mwanzo tungepata matokeo....dogo Fati angeingizwa 20'mins za mwisho tukiwa mbele kwa 0-2
 
Yaan badala wamwache aoneshe uwezo wake.wao tayari washamlinganisha na Dembele!

mechi moja tu tayari wanataka awe tishio

subirini afike basi hata miaka 19
Sisi tunatazama kwa sasa mtu kacheza nini, achilia mbali miaka na uzoefu wa mtu. Je, kwa kikosi cha Barca leo kilichoenda huko ujerumani, Ansu alipaswa kuanza kucheza kama winga ya kulia?

Kama ni mpenzi wa mpira vizuri kabisa pasipo kupepesa macho, Perez ni mzuri mno kulia kuliko hata Ansu, sasa inakuja vipi achezeshwe Ansu tena kwa UEFA mechi kubwa kama hii? Bora angecheza kiraka Sergi Roberto.

Mtu kama wafahamu wafahamu tu, unamzungumzia Mbappe kwa umri wake alipoanza mpira, alikuwa kama huyu? Hakuna anayekataa kwamba Ansu ni mzuri ila sio kwa kiwango kikubwa kama tunavyotaka kujipa moyo, kuna mdau kabla mechi kuanza hapo juu alicomment kwa kikosi hiki tusishange matokeo ya Liverpool yakajirudia, na ni kweli yangejirudia, ni vile tu kuwa Dortmund hawakuna na mfungaji.
 
Walichokifanya dortimond ni kucheza kwa kujilinda zaidi,ndio maana muda mwingi wao walirudi wote nyuma na kuziba mianya,Messi walihakikisha kumdhibiti watu mpaka wanne lakini ndio hivyo playtime yake ilikua fupi kama dkk 32 hivi

Baada ya kuingia game ilibadilika sana, mazezeta walichangamka kweli kweli...naamini kabisa angecheza dkk 45 au zote tungeongea mengine kamanda.
 
Mimi sielewi humu defence inalaumiwa sana-wakati mpira mbele haukai-Barca kawaida ina defend kuanzia mbele sasa kama mbele ndio hivyo its just an impossible task.Suarez amekuwa slow age imekamata-anategemea service.Griezman naye it seems depends on service ili acheze mpira-so how will this work out. Mimi nadhani kuendelea kuwepo kwa Velverde ni kilio..La liga sio priority we may win it-but its the European cup we curve.
On this showing this could only be a dream
 
Nyuma kaka ni matatizo.
Mabeki hakuna nyuma.
Lakini pia kocha anatakiwa aondolewe huyu hana amsha amsha mbinu zero.
Atleast angekuwa km Luis Enrique tungekua twaongea mengine.
 
Nyuma kaka ni matatizo.
Mabeki hakuna nyuma.
Lakini pia kocha anatakiwa aondolewe huyu hana amsha amsha mbinu zero.
Atleast angekuwa km Luis Enrique tungekua twaongea mengine.

Kweli kabisa..Hatuna kocha..tangu aondoke gadiola sijaona kocha wa maana. Zaidi tunategemea uwezo wa Messi tu...Messi akiugua tumekwisha.

Managers nnaowakubali ni hawa, lakini kama hawawaoni mammae 😡

1 Simeon
2 Guadiola
3 Pocchetino
4 Joachim low
5 Allegri
 
Kweli kabisa..Hatuna kocha..tangu aondoke gadiola sijaona kocha wa maana. Zaidi tunategemea uwezo wa Messi tu...Messi akiugua tumekwisha.

Managers nnaowakubali ni hawa, lakini kama hawawaoni mammae

1 Simeon
2 Guadiola
3 Pocchetino
4 Joachim low
5 Allegri
Mkuu umemsahau jembe letu Enrique.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom