Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,490
Mafans, Messi leo vp anaweza cheza game ya leo
Yumo.Pia kikosi chote ambacho kimekua kikianza mechi hizi za ligi +Suarez na Goal keeper Neto nae amerudi rasmiMafans, Messi leo vp anaweza cheza game ya leo
Cjui kama ataanza au vpkipimo cha kina asumanti sijui ni leo
Pale mbele nadhani leo wanakaa Perez, Suarez na Griezmann. Ansu sio rahisi kuanza Game kama ya leo.Cjui kama ataanza au vp
Perez hawezi kumuweka Ansu njePale mbele nadhani leo wanakaa Perez, Suarez na Griezmann. Ansu sio rahisi kuanza Game kama ya leo.
what makes you say soLeo Barca ya anfield yana warudia ...uyu kocha Zero brain ..
Mh mkuu umekunywa supu baada ya konyagi bro??Perez hawezi kumuweka Ansu nje
Tuachane utani wakuu, huyu dogo hata kwa Dembele bado.