FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Na tusisahau pia ana dk 64 tu play time
Ninaona watu wameanza kumshambulia Fati, Tukumbuke

1. Ana Miaka 16

2. Kacheza michezo miwili mpaka sasa (zote anatokea bench)

3.Amefunga Goal moja

4.Bado hana uzoefu wa kutosha

Mchezaji kama Fati hata akikosea kwa sasa anapaswa kutiwa moyo tu kwa sasababu zifuatazo

1.Bado ana hofu (pressure)

2.Bado ana vitu vingi kichwani anataka watu wavione

3.Bado anaangalia kelele zaidi za mashabiki wa kimshangilia kuliko wachezaji wenzake anaocheza nao

Kwa ujumla wake Fati ana kiwango cha juu na michezo yote aliyocheza kafanya vzr sana..

Mchezo wa kwanza aliingia Team ikiwa imeshashinda so alikuwa huru kuchezea mpira

Mchezo wa pili aliingia Team ikiwa imefungwa so aliingia akiamini kapewa jukumu la kubadili matokeo and offcoz alienda kutimiza majukumu...

Hitimisho

Bado siyo wakati wa kuwa na matarajio makubwa kwa vijana chipukizi hasa Fati ila tuwaunge mkono wanapopata dak chache za kuonyesha walichonacho
 
Kweli ukongwe ni dawa Suarez is back very determined ,hata kwa mbali anaonekana kupungua uzito kwa shughuli maalum,

This season Barca ndio watakua mabingwa wa UEFA bila shaka, Jana ndo tumeianza season we come back very strong tusahau yaliyopita kuna alot of improvements especially katikati ,naiona version mpya ya Arthur Mello ,roles zake zimewekwa awe anacheza offensive at ikishindikana awe anapiga last key passes
 
Hii Uefa yenu kabisa100%. Ila kumbuka toka 2015 kila msimu uefa ni yenu toka mwanzo.
Kweli ukongwe ni dawa Suarez is back very determined ,hata kwa mbali anaonekana kupungua uzito kwa shughuli maalum,

This season Barca ndio watakua mabingwa wa UEFA bila shaka, Jana ndo tumeianza season we come back very strong tusahau yaliyopita kuna alot of improvements especially katikati ,naiona version mpya ya Arthur Mello ,roles zake zimewekwa awe anacheza offensive at ikishindikana awe anapiga last key passes
 
Neymar asije tu barc...tuna madogo wazuri la masia...
Mkuu kupata mchezaji ataefunga zaidi ya goli 20 za ligi kama Neymar ni kamari , hatujawa na uhakika huo kama hao madogo watadeliver kufikia hata kiwango alichofikia Sanchez wakati Sanchez akiwa Barca achilia mbali kiwango cha Neymar
 
Yeah
Kwani Dogo uyu keshaingizwa kwenye kikosi cha wakubwa???

Sema barca hawana utaratibu wa kulia vipaj vya wachezaj weusi ..utashanga anauzwa intermilan au PSG uko
UCL
IMG_20190916_191312.jpeg
 
Gazette la "Le Mundo" linaandika Barca aki control naku dominate mpira katikati match zinakuwa nyepesi.Barca ikiwa over run kati match inakuwa ngumu.Linaendelea kuandika Messi ni jina la kwanza ktk team sheet,akifuatiwa na T Stergen ALAAFU its Griezman ambaye still needs to justify hiyo tag cause amekuja Barca kuwa game changer na sio to make up the numbers
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom