Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,790
- 4,284
Na atasubiri sana PSG hatuna mpango wa kumuachia Neymah na akileta dharau anakula benchi mpaka mkataba uishe kama Rabiot ,Pesa ya Mafuta haiwezi kusumbuliwa na mbazili mmojaHakupata injury bro maana toka apewe red card copa America hakucheza tena bali amewapa conditions barca wamlete Neymar yeye ndio aingie uwanjan


