PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,258
- 22,134
Leo pia Real Madrid naye anakufa pale celta vigo
Pre-season imeisha bro, kama unataka nikusaidie link bro uone football. Msimu Real Madrid inaenda kuongoza la liga mwanzo mwisho.
Leo pia Real Madrid naye anakufa pale celta vigo
Unaota weweLeo pia Real Madrid naye anakufa pale celta vigo



Unaota wewe
Msiba wenu hautuhusu![]()
Pre-season imeisha bro, kama unataka nikusaidie link bro uone football. Msimu Real Madrid inaenda kuongoza la liga mwanzo mwisho.
huyo dogo na malcom nimeumia sana daahHabari njema..
Coutinho amesha chukuliwa na Bayern kwa loan...
hatuna kocha tuna mpanga kikosi na msimamizi wa wachezajiWapi game plan Valverdeeeeee![]()
Pique kachoka, Umtiti pancha kibao Lenglet na Tobido hawana uzoefuNadhan tokea 2005 sasa hivi Huyu ndie kichwa wa hovyo kuwahi kutokea, hata benchi la ufundi ni hovyo vile vile. Misimu mitatu mfulululizo wamekua wakiondolewa uefa kwa sababu ya ubovu wa beki lakini hakuna usajili wa maana unaofanyika kutatua tatizo hilo. Baada ya ile come back ya roma tulitegemea usajili wa beki hakuna kilichofanyika. Msimu ulioisha tumeshuhudia udhalilishwaji anfield kwa sababu ya ubovu wa beki bado hakuna cha maana kinachofanyika kutatua tatizo hilo. Nikiangalia barca ya sasa hivi nyuma sioni ikiimili mtifuano wa UEFA msimu huu. Kwa ujumla kwa kocha huyu na benchi lake tuna safari ndefu.
Me mwenyewe nilikua nashangaaa.
Yani hata kumtumia Griezmann walishindwa.
Na kuna wachezaji wa kuwatoaa aisee especially Pique,Suarez
Hahaha watu mna maono sana.Kitakachomkuta barca leo akijitahidi sana sare![]()
Subiri uoneBaba swalehe amini Madrid ndiyo hovyo, Hope baadae nitakukumbusha
Kama Atletico Madrid sawa ila siyo Real MadridHuu msimu ni wa Madridi barca mtabaki kuwa wasindikizaji tu
Una ndoto za asubuhi asubuhi baba angu DuuuuhPre-season imeisha bro, kama unataka nikusaidie link bro uone football. Msimu Real Madrid inaenda kuongoza la liga mwanzo mwisho.
We unauguwa yeye ndio anaiuza team yule.Barca kama usajiri utafungwa ramsi bila kuongeza beki mbili za kati hakuna cha maana kitakachofanyika. Shakira amechoka lakini kutokana na ubovu wa timu ndie anaenekana msaada kwenye ulinzi katikati.
Yani itabidi kocha atimuliwe hata kesho.sahizi Barca wachezaji wanaojitambua watakuwa wanakwepa kusajili
mfano De ligt
atletico kwa mbali kidogo, wamemuuza key player waoKama Atletico Madrid sawa ila siyo Real Madrid
Mambo yanaendaje hapo nchini uhispania
Kama hana umuhimu huo kwanini viongozi wa Barcelona wanahaha Paris ili wamsajiri?.