Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,560
Kamepanic saizi hakaelewi kaende wapiAlitaka akabebe UCL na Barça,bahati mbaya kwake Liverpool wamebeba UCL kabla yake.
Kamepanic saizi hakaelewi kaende wapiAlitaka akabebe UCL na Barça,bahati mbaya kwake Liverpool wamebeba UCL kabla yake.
Anaenda Munich,naona Munich wameshaconferm.Sasa sijui nani atatolewa kafara ili Neymar aje Barça.Kamepanic saizi hakaelewi kaende wapi
Atakuwa DembeleAnaenda Munich,naona Munich wameshaconferm.Sasa sijui nani atatolewa kafara ili Neymar aje Barça.
Ndembele alishakataa kwenda PSG,akiona wanamlazimisha atatafuta team nyingine faster.Atakuwa Dembele
Ngoja tuone sakata litaishia wapi,ila Neymar naye ndo tayari kapotea,hakuna jipya tenaNdembele alishakataa kwenda PSG,akiona wanamlazimisha atatafuta team nyingine faster.
Msimu miwili hadi sasa hapo PSG kacheza mechi 59 mashindano yote kafunga magoli 51 na assist 27 bado unasema hana jipya!, daaah wabongo kiboko.Ngoja tuone sakata litaishia wapi,ila Neymar naye ndo tayari kapotea,hakuna jipya tena
Unadhani Neymar atafikia mafanikio anayoyawaza kwa upuuzi wake huo? Kwa umri wake huo? Ligi ya ufaransa na kucheza timu kama PSG hizo takwimu hata kipofu anapata,Neymar hanaujanja wa kuibeba BarcelonaMsimu miwili hadi sasa hapo PSG kacheza mechi 59 mashindano yote kafunga magoli 51 na assist 27 bado unasema hana jipya!, daaah wabongo kiboko.
Kuacha ujinga alionao ila Neymar akienda Barca atapunguza utegemezi wa Messi kwenye timu kwa kiwango kikubwa.
Kama hana umuhimu huo kwanini viongozi wa Barcelona wanahaha Paris ili wamsajiri?.Unadhani Neymar atafikia mafanikio anayoyawaza kwa upuuzi wake huo? Kwa umri wake huo? Ligi ya ufaransa na kucheza timu kama PSG hizo takwimu hata kipofu anapata,Neymar hanaujanja wa kuibeba Barcelona
Ukweli tatizo letu halikuwa couthno ila tatizo letu ni coach bila coach kuondoka tutapigwa sana nawaambieniHuyu Griezman kweli atafikisha goal 20? Dembele naye mbona he is not living up to the hype-hawa jamaa wakibahatisha goal we are doomed
Kweli kabbisa kaka.Ukweli tatizo letu halikuwa couthno ila tatizo letu ni coach bila coach kuondoka tutapigwa sana nawaambieni
Kweli kabbisa kaka.
Huyu kocha amekosa mbinu mbadala km alivyokuwa Luis Enrique.
Basi at least amuige Enrique aisee.
Maana hana mchezaji mbaya wote wazuri sijui wapi anafeli yeye.
Mind you kikosi cha jana angekuwa anaki coach Enrique ungesikia saba bila barca kashinda.
Dah asee hapo ni team strategies bro.Kuhusu kocha mimi sijawahi kumuelewa kabisa, nikajua wanamchukua yule wa Ajax baada ya jamaa kuzingua msimu uliyoisha
Pia Tatizo lingine ni Messi dependency, yaani timu imemfuata Messi baada ya Messi kuifata timu
Ndiyo maana tunahitaji Neymar awepo angalau timu iweze kuamini maisha mengine bila Messi
Dah asee hapo ni team strategies bro.
Kocha hana hvyo vitu.
We tizama Enrique alikua ni kocha wa namna gani then mtizame huyu Valverde utumbo aufanyao.
Ila kuhusu Messi asee hata wakimleta Neymar watapunguza dependency ila sio kuiua.
Maana wale wanaamin juu ya Messi hakiharibiki kitu.Japo inaonekana kweli.
Me mwenyewe nilikua nashangaaa.Kwa mfano Jana kuna nafasi alikuwa anazipata Rafinya, pembeni huku anaombwa pasi na Griezman lakini anapiga piga tu, Ngoja mechi ijayo awepo Messi halafu utaona maamuzi atakayokuwa anayafanya uwanjani