Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Wanasoka wengi na makocha wengi wamempigia Salute Messi na sio huyo muuza Sura
Anafurahisha sana anavyo penda kujisifia mwenyewe.
Wanasoka wengi na makocha wengi wamempigia Salute Messi na sio huyo muuza Sura
Wewe Bongo ni Chura,bisha
Toa analysis kututea hoja yako, kabla haujaingia hatiani ya kumeza kisuHuu mwaka Messi asipochukua Bol On Dor naomba mnipe adhabu ya kumeza kisu
tulishaga kuzoeaHuu mwaka Messi asipochukua Bol On Dor naomba mnipe adhabu ya kumeza kisu
Pique punga Yule mtoeMy starting XI this season
Griezmann - Messi - Dembele
Arthur - Busquets - Frenkie
Alba - Umtiti - Pique - Semedo
Stegen
Unaionaje?
Inamaana mchezaji borab ulaya atakuwa messi???!!!!!
Sawa mamaGame ya kwanza tu, mtakula gori za kutosha leo
Inamaana mchezaji borab ulaya atakuwa messi???!!!!!
Mfungaji bora atakuwa yeye pia???!!!!
Ilhali ana European golden boot tayari si bora wampe ballon d,or kabbisa maana mwaka huu hakuna wa kumzuia kubeba ballon d,or.
Duh wampe ballon d,or kabisa basi.Mchezaji bora ni yeye wa UEFA according to hiyo leak hapo




Embu rejea mechi za msimu ulopita tuliwafanya nn hao bilbao.Athletic bilbao inawakaziaga nyie mbwa,
Na hivi mess hayupo, leo mtatoa ulimi nje hhahaha
Pique punga Yule mtoe
Ah bro yule msengeeee katukosesha kupenya mechi na As Roma kasababisha magoli 2 simpendi hadi leo yule fala.Pique licha ya makosa anauzoefu wa kuwapanga madogo