FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

jackline1

jackline1

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
2,044
Points
2,000
jackline1

jackline1

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
2,044 2,000
Huyu Griezman kweli atafikisha goal 20? Dembele naye mbona he is not living up to the hype-hawa jamaa wakibahatisha goal we are doomed
 
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
2,714
Points
2,000
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
2,714 2,000
Nadhan tokea 2005 sasa hivi Huyu ndie kichwa wa hovyo kuwahi kutokea, hata benchi la ufundi ni hovyo vile vile. Misimu mitatu mfulululizo wamekua wakiondolewa uefa kwa sababu ya ubovu wa beki lakini hakuna usajili wa maana unaofanyika kutatua tatizo hilo. Baada ya ile come back ya roma tulitegemea usajili wa beki hakuna kilichofanyika. Msimu ulioisha tumeshuhudia udhalilishwaji anfield kwa sababu ya ubovu wa beki bado hakuna cha maana kinachofanyika kutatua tatizo hilo. Nikiangalia barca ya sasa hivi nyuma sioni ikiimili mtifuano wa UEFA msimu huu. Kwa ujumla kwa kocha huyu na benchi lake tuna safari ndefu.
Naanza kuwa na wasiwasi na kocha mpaka sasa mpira wake haueleweki ni kama amekuwa mtu wa kubahatisha
 

Forum statistics

Threads 1,335,525
Members 512,360
Posts 32,508,654
Top