FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ukisoma andiko langu nimeshakujibu in professional football everything is possible
Sio product yetu ile

That will be the dumbest move in football history. Barcelona is bigger than Neymar and you can’t beg for a player who engineered a move away from the club to return. I believe there are other talents out there that could fit the bill than begging for Neymar to return.
 
I concur!

The whole world knows how good Neymar is, but begging him to come back after all the disrespect he showed to the club would be a dumb move!

We are more than a club!
 
July 1 - grenzzy
Neymar anasubiriwa a apologize mbele ya hadhara na aseme kuwa anataka kurudi.. Na source zinasema kuwa amekubali ku lower 50% ya mshahara wake kurudi 22m aliokuwa anapewa kabla ya kuondoka.

Bila kumsahau dani alves ambaye naye amesema barca ni nyumbani.. Chochote chaweza kutokea.

Neymar

Griezmann

Dani Alves

Utabiri wangu

Neymar atarudi Barcelona ,instincts ambazo ziliniambia kua atahama ni zile zile tena zimenipa ushahidi wa kurudi alikokuita Home

kwenye professional football sio kitu kibaya ingawa ali tarnish loyalty yake but tukumbuke Neymar sio mhitimu wa Lamasia kwa alichokifanya kwake yeye ni sawa tu.

Technically binafsi nafungua njia ujio wake especially left flank wakati tuna attack tangu aondoke bado kuna shida hata baada ya ujio wa Coutinho .Team tunazocheza nazo wakifunga spaces na kufanya compactness upande wa kulia kwa Messi hua inatuletea shida sana na kumlazimu Messi kwenda deep na kupiga penetrating passes ambazo nyingi zinapotea ,hii ni permanent solution

Financially ujio wake utai cost team italazimika iuze big names waliopo sio chini ya wawili and the proposed list ni Dembele,Coutinho,Malcom plus Ivan Rakitic hapa ndipo kilipo kitendawili at the same time transfer ya Griezman inabidi isimamishwe ,

Je inawezekana?Leo katika viunga cha Barcelona nasikia kuna kikao Kati ya Barthemeou na technical department ya Erick Abidal

Lolote linaweza kutokea ikiwa kama tutaweka priority namba moja ni UEFA ,mwenzenu hadi sasa hivi siamini kama tulitolewa kweli
 
July 1 - grenzzy
Neymar anasubiriwa a apologize mbele ya hadhara na aseme kuwa anataka kurudi.. Na source zinasema kuwa amekubali ku lower 50% ya mshahara wake kurudi 22m aliokuwa anapewa kabla ya kuondoka.

Bila kumsahau dani alves ambaye naye amesema barca ni nyumbani.. Chochote chaweza kutokea.

Neymar

Griezmann

Dani Alves
Dan alves hana impact haitajiki hata na yanga
 
July 1 - grenzzy
Neymar anasubiriwa a apologize mbele ya hadhara na aseme kuwa anataka kurudi.. Na source zinasema kuwa amekubali ku lower 50% ya mshahara wake kurudi 22m aliokuwa anapewa kabla ya kuondoka.

Bila kumsahau dani alves ambaye naye amesema barca ni nyumbani.. Chochote chaweza kutokea.

Neymar

Griezmann

Dani Alves
Dani Alves tena? Hell No!

Ni muda sasa Semedo aachiwe nafasi, he's the next big thing!
 
IMG_5704.JPG
 
jarida la ufaransa la la parisien limelipoti kuwa psg imekubali ofa ya barca ya pauni 120-150 pamoja na nyota mmoja kati ya ousmane dembele au phil coutinho,
 
Daahh dembele naomba asiende
jarida la ufaransa la la parisien limelipoti kuwa psg imekubali ofa ya barca ya pauni 120-150 pamoja na nyota mmoja kati ya ousmane dembele au phil coutinho,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom