FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ila Messi kaniudhi kumkataa Griezmann,pia najiuliza Messi yupo juu ya Barça?
 
Ifike hatua Messi aache wivu
Messi ana wivu,hata pale team ya taifa alikuwa anainfluence kwa kocha asichague wanaoonekana kuja kumfunika Messi,Mpaka leo huwa najiuliza kwa nini Aguero alikuwa anaanzia benchi kipindi cha kombe la dunia.
 
Jamaa anazingua tatizo na wao wanamtukuza sana wakataki sio mkubwa kuliko club
 
Ila Messi kaniudhi kumkataa Griezmann,pia najiuliza Messi yupo juu ya Barça?

Ndio maana wengine wanaiita FC Barcelona ya sasa kama Messi FC.
Messi ana influence nani awe kocha wa Barca.
Messi ndie huamua nani asajiliwe, nani abaki na nani aondoke Barca.
Huo mziki wa Messi uliwakumba wengi akiwemo Ibrahimovic, Etoo, Tata Martinez etc
Nasikitika Yaani ndio umeona hilo leo
 
Shida forward .., tatzo kubwa ni viungo wa kati na kocha..sasa Grezman wa kaz gan??
Yaan benchi la ufund barca limegeuka kua vituko
 
Watu wanajifanya kusahau...barca kuna tatzo pale ...their trying to create another problem inspite of solving it
 
We dont need grezman.., we need attacking mild field who can posses ball ..sasa mtu kama vidal..cjui kumeingiwa kitu gan pale..
Watu wanajifanya kusahau...barca kuna tatzo pale ...their trying to create another problem inspite of solving it
 
mbn meesi nae alikosa mech ya pili clear chance..
makosa ndani ya kiwanja yapo tu hakuna ambaye hakosei so iswe sababu ya kumkataa dembele
Angefunga tungefikisha goal 5 tusingetoka kuzembe ivyo
 
mbn meesi nae alikosa mech ya pili clear chance..
makosa ndani ya kiwanja yapo tu hakuna ambaye hakosei so iswe sababu ya kumkataa dembele

Mitazamo mingine noma sana mkuu

Kuna mwanangu mmoja huku anadai Dembele kwa kukosa vile ile game ya Liverpool Nou camp awekwe benchi kisha Coutinho ndio awe regular left wing

Sasa kweli Coutinho ni wa kumuweka Benchi Dembele au mahaba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom