interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Shida ni nn mbn kama yanarud
Tunashinda wazee tuliza mzuka
Worry not
Daaah....ebu acha roho mbaya basi nduguLa tanoo
Game bado sana hii,tunahitaji goli moja tu ,no problem
Hizo hekima umekuwa nazo baada ya 4-0Liverpool psychologically are strong Velverde amekosea kuwaandaa vijana kisaikolojia
KANA upo?
#Eplvslaliga
Unajua barca ni timu nzuri ila wanazingua wanapozarau timu za uingereza.Daaah....ebu acha roho mbaya basi ndugu
Daaah
Wazee let's stay strong najua imeuma sana ,ngoja nilale
Kuanzisha Leo mm na Barcelona bye bye naitema kama nilivyoitema simba
Kuna katimu kanajiona katimu ka Dunia, haka katimu huwa kananiudhi sana
Kamenyooshwa, na kamenyooka
Safi sana Mamamwekundu leo umepauka na kuwa kijivu kama nyanyapuza!
Na sura lako hilo kama Sokwe!!!
Mbwa wakubwa nyie!!!
Ngoja nikampe Baba Debo kiuno akichezee atakavyo, kesho kuamka saa tatu.
Hii team kuanzia leo sitaki ata kuishikia kwakweli