FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Badala ya kufunga wanamtafuta messi alipo wampe mpira.
Walisahau hii ni uefa
 
Kale kamtu ambako huwa ndio kakombozi kao, leo ndio kamewakosti

Badala ya kutumia nafasi nzuri aliyotengenezewa na Coutinho, eti kanajidai kanataka kumpiga mtu chenga kwenye 6

Magoli aliyokosa Dembele kwenye mechi ya kwanza pia mtayakumbuka sana
Kosa pia alifanya coutinho.
Kiufupi kikosi kizima walipotea.
Waliizarau game .
Liver aliposhinda wakasema messi lazima ashinde kumbe sivyo.
Mipira isipomfikia messi timu imepotea hamna njia nyingine ya kutafuta ushindi.
 
Je macho yako yameona kama miiiiimi!!!!!
This iz Liverpool bwana.
Hongereni majogoo kwa kututhibitishia kua bado mnauwezo wa kuwika, maana wiki iliyoisha mlitudhalilisha ikapelekea tuwadharau sana.
Mkuu yule Taa ni mshenzy sana yule mtoto
Kaupiga mwingi sana.
Ni muda pia wa klopp kuendelea kumuamini origi
 
Kosa pia alifanya coutinho.
Kiufupi kikosi kizima walipotea.
Waliizarau game .
Liver aliposhinda wakasema messi lazima ashinde kumbe sivyo.
Mipira isipomfikia messi timu imepotea hamna njia nyingine ya kutafuta ushindi.
Coutinho alikuwa pembeni, angekuwa mchoyo angeweza kijaribu na kufunga, lakini Messi yeye alipaswa kuipasia nyavu tu na bado akazingua

Hii timu akibanwa Messi, hamna timu tena

Nilishawahi kuuliza kama hii timu ni Barcelona au ni Messi Fc

Wanamtegemea sana Messi
 
Kosa pia alifanya coutinho.
Kiufupi kikosi kizima walipotea.
Waliizarau game .
Liver aliposhinda wakasema messi lazima ashinde kumbe sivyo.
Mipira isipomfikia messi timu imepotea hamna njia nyingine ya kutafuta ushindi.

Pale ni Anfield mkuu, historia ya ule uwanja kwenye UEFA inajulikana.

Isingekuwa haki kwa Messi kumaliza career yake bila kupata kuusimulia ule uwanja.
 
Makaburi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…