Oyooo wana eeh Leo Messi anaenda ku shine tena kwenye dimba la Anfield ,with all their coverage anajua umuhimu wa media za UK katika influence ya kuchukua "Bal On Dor "
This year anachukua crown mapema kabisa na kwa habari za ndani kabisa hamna mtu hata mmoja anamkaribia kwa points
Be scared Liverpool, we are coming for you
Tutacheza kama game inaanza upya 0-0