FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

In La Liga bingwa ni either Barca au Madrid by default. In EPL any of the top 6 has a chance
Sasa hao wagumu wa Epl mbona ni midebwedo tu kwa timu za Ukiondoa Barca na Real?

Altelico, Bilbao, Sevilla, Valencia, Villarreal hizi zote zinawahenyeshaga tu Europa na Uefa mkikutana nazo
 
Mimi nimeamua kuachana nae, hutakiwi kupoteza ATP zako kubishana na watu wa aina hii..

Hiyo ligi inaweza kuwa ni shindani huko huko kwao ndio maana hawana taji lolote la ucl miaka kadhaa,kudhihirisha ushindani wao ni good for nothing.

Ligi shindani lakini sio bora.
Sasa hao wagumu wa Epl mbona ni midebwedo tu kwa timu za Ukiondoa Barca na Real?

Altelico, Bilbao, Sevilla, Valencia, Villarreal hizi zote zinawahenyeshaga tu Europa na Uefa mkikutana nazo
 
Unadhani huyo keeper wa Man City angekuwa Barcelona angemuweka T Stergen bench??? Reflex za Stergen ni extraordinaire
Priority ya Barca namba ni Mjerumani, na Barca hawakuwa na khiyana na Bravo kwanini akae benchi wakati ana uwezo kucheza kwingine? Ndiyo maana alipewa nafasi ya kucheza game zote before leaving there kwa heshima.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…